Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa hii kauli Mtani? Fitna kiaje?Mpira duniani note umejaa fitna.
Yule dereva wa Lori lililo sababisha ajali kule Songwe ambaye ni marehemu ameshtakiwa na atahukumiwa kama kawaida! Hata huyu atahukumiwa tena!!!Lakini adhabu yake inasema ni kufungiwa maisha hawajasema asipolopa ndio watamfungia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa hii kauli Mtani? Fitna kiaje?
Alimeza filimbi pale akijua anaikomoa Yanga,kumbe kinyume chake akairahisishia goli la ushindi!alijilaumu sana yule kilaza
Kweli kama Abdalah Shaibu,Yondani naNa wale wanaoipendelea Mikia FC hadharani vipi?
We mkia angalia goli la 3 la jana mikia hilo,utaweza kujua kilichoendelea hapo iwapo unajua mpira,la sivyo utaleta ligi tumashabiki wa gongowazi bana....kila siku ni kulalamika...mmekuwa waimba tarabu kama yule kocha wenu...nenda sasa kachezeshe wewe mechi za Yanga uwe unaipendelea roho yako iridhike
Sasa hapo unatoaje conclusion wakati mtoa pasi bado mpira hupo mguuni kwake!We mkia angalia goli la 3 la jana mikia hilo,utaweza kujua kilichoendelea hapo iwapo unajua mpira,la sivyo utaleta ligi tuView attachment 1033140
Nadhani ni ile issue ya yule referee wa Ghana na Viongozi wa Michezo Ghana yule mwadishi wa BBC aliewarekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
......Aidha Mbaga anatakiwa kulipa faini ya kiasi cha fedha ya Uswis Faranga 200,000 (Zaidi ya shilingi milioni 468 a Kitanzania) ......kuchezesha mchezo mmoja wanalipwa bei gani? Inawezekana kuna fursa kubwa huko kuliko huku tulikoView attachment 1032917
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imemfungia maisha mwamuzi wa zamani wa kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Chama Cha Waamuzi Tanzania (FRAT) Oden Charles Mbaga kwa kujihusisha na masuala ya rushwa ya upangaji matokeo.
Aidha Mbaga anatakiwa kulipa faini ya kiasi cha fedha ya Uswis Faranga 200,000 (Zaidi ya shilingi milioni 468 a Kitanzania) ndani ya siku 30 tangu amepata taarifa hizo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na TFF, Uamuzi huo unafuatia uchunguzi uliofanyika kuanzia Julai 11, 2018 ambapo Mbaga amekutwa na hatia ya kuhusika kwenye upangaji wa matokeo ikiwa ni kinyume na kanuni za maadili za FIFA.
“Anafungiwa maisha kutojihusisha na shughuli zozote za mpira wa miguu katika ngazi ya Kitaifa na Kimataifa kwa mujibu wa Ibara ya 7j ya Kanuni za Maadili za FIFA za mwaka 2018 pamoja na Ibara ya 22 ya Kanuni ya Nidhamu ya FIFA,” imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Mwamuzi huyo anaweza kukata rufaa kwenye mahakama ya kimichezo ya FIFA (CAS) ndani ya siku 21 tokea maamuzi yalipofanyika na ndani ya siku 10 baada ya kumalizika siku 21.
Source: fifa.com
Adjudicatory chamber of the independent Ethics Committee sanctions Oden Charles Mbaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiacha hiko kifungo na faini anaweza kuhukumiwa adhabu gani tena.?Yule dereva wa Lori lililo sababisha ajali kule Songwe ambaye ni marehemu ameshtakiwa na atahukumiwa kama kawaida! Hata huyu atahukumiwa tena!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni kufukuzwa nchini .....Ukiacha hiko kifungo na faini anaweza kuhukumiwa adhabu gani tena.?
Acheni kuwaza ujinga, kukosea marefa ni kitu cha kawaida dunia kote! Wewe unadhani kwanini VAR inatumika?Waamuzi wetu wa kibongo hovyo sana,mechi ya Namungo ni moja ya aina ya waamuzi wa hovyo tulionao,walichezesha kwa lengo la kuibeba Timu ya Waziri Mkuu lakini mwisho wa siku aibu ikawarudi.
Na walisahau kwamba Namungo anacheza na Timu ya aina gani,ina wachezaji wa aina gani na ambao wanaweza wakabadilisha ubao wakati wowote na ndicho kilichotokea,acha wafungiwe tu hakuna namna
Nenda kasome comment Namba. 8Yaani umeishamfungia mtu maisha na mifaini ya mahela yote hayo,hapo n kupiga kimya.
Sent from Nokia 7 Plus
Chit chatNenda kasome comment Namba. 8
Na wale wanaoipendelea Mikia FC hadharani vipi?