Fifa yatoa majina matatu tuzo za mchezaji bora wa fifa,Messi aachwa

Salah kafikia mafanikio ambayo hayajawahi kufikiwa na mchezaji yoyote pale uingereza. Kwani Messi alipochukua uchezaji bora 2010 alikuwa amefanya nini kumzidi iniesta na wesley sneijder?
 
Yule wanasema katoka sayari nyingine vipi mbona hayupo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
si mnasemaga la liga ndio hutoa wafalme.
 


Andy West

[emoji818]@andywest01

Anyone who thinks Salah deserves to be on FIFA's award shortlist ahead of Messi is wrong, plain and simple. If you measure by silverware, Messi wins (2-0). If you measure by goals, Messi wins (45-44). If you measure by any other performance metric, it's not even remotely close.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
SiasA tu mpira wa modirck na sarah wa kawaida sana bado tuzo ni mess na ronaldo wengine ni bahati tu na mafanikio ya timu zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati ya timu zao wkt wao ndio wanategemewa na wanafanya kweli.
Messi anaweza barca tu taifa mweupe mno.
Kabumbu analopiga modric taifa na madrid sio mchezo na wasipompa tuzo hii itakumbusha yale ya xavi na iniesta pamoja na sneijder kunyimwa waziwazi.
 
CHEKI 10 bora yangu bado Messi anakaa nyuma.
1. MODRIC
2. RONALDO
3. MBAPPE
4. VARANE
5. SALAH
6. GRIEZMANN
7. KANTE
8. MESSI
9. HAZARD
10. DE BRUYNE
 
Mt.luka ni wakati wake sasa, huyu jamaa angemaliza soka lake la ushindani bila tuzo yoyote kwa kweli wangekua hawajamtendea haki hata kidogo. Toka kitambo jamaa ana mpira mwingi mno wenye nidhamu ya hali ya juu sina wasiwasi na kiwango chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…