Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete sababu kwanini Ronaldo mpenzi.Au mkumbo??Ronaldo
Salah kafikia mafanikio ambayo hayajawahi kufikiwa na mchezaji yoyote pale uingereza. Kwani Messi alipochukua uchezaji bora 2010 alikuwa amefanya nini kumzidi iniesta na wesley sneijder?Salah kafanya nini cha kufikia kumzidi Messi.
Kwa hao wengine wawili kuwepo sioni shida ila kwa salah au kwa sababu anacheza Uingereza.
Messi kutokuwepo ile ya Uefa ilikua sahihi ila ukipima mafanikio ya jumla Salah kaachwa mbali mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
BlackPanther "mfalme" kaachwa.
si mnasemaga la liga ndio hutoa wafalme.Salah kafanya nini cha kufikia kumzidi Messi.
Kwa hao wengine wawili kuwepo sioni shida ila kwa salah au kwa sababu anacheza Uingereza.
Messi kutokuwepo ile ya Uefa ilikua sahihi ila ukipima mafanikio ya jumla Salah kaachwa mbali mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapo umeona wapo wangapi wa Laliga, au unafikiri Salah atachukua hiyo tuzo?si mnasemaga la liga ndio hutoa wafalme.
SiasA tu mpira wa modirck na sarah wa kawaida sana bado tuzo ni mess na ronaldo wengine ni bahati tu na mafanikio ya timu zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Fifa wahuni sana
Atapata tuzo kutoka sayari nyingineYule wanasema katoka sayari nyingine vipi mbona hayupo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati ya timu zao wkt wao ndio wanategemewa na wanafanya kweli.SiasA tu mpira wa modirck na sarah wa kawaida sana bado tuzo ni mess na ronaldo wengine ni bahati tu na mafanikio ya timu zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sayari nyingine wapi kaka.. maneno tuYule wanasema katoka sayari nyingine vipi mbona hayupo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi MBAPPE NA VARANE?Griezman kaonewa sana,,,