Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Au Tifutifu.Fifa haina tafauti na CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au Tifutifu.Fifa haina tafauti na CCM
Hili ulilosema litaeleweka na wachache.Messi ni victim of his own success, amechukua La Liga, Magoli 51 na Assists 19 ndani ya mwaka mmoja lakini bado anauliza huyo Messi kafanya nini kisa tu ni Messi na ni kawaida yake ndio maana hawaoni kitu ila angekua mchezaji mwengine ingekua ni nyimbo na mapambio.
Hata mwandishi wa hii habari naye ni KILAZA MNAZI. What exellent campaign ya Ronaldo huko Juventus? Sijui namna ya kuvalue contribution ya beki kwa hiyo siwezi kumsemea Van Djyik lakini kwa hili la Ronaldo ni upopoma na wivu wa kike.Lionel Messi walked away with the best men's player accolade at the glitzy ceremony in Milan on Monday, pipping Cristiano Ronaldo and Virgil van Dijk to the award.
Given Van Dijk's remarkable season at Liverpool, where he led the club to their sixth Champions League title, and Ronaldo's excellent campaign at Juventus - Messi's winning award was met with a degree of surprise.
View attachment 1216506
Jecha Salimu Jecha alikuwepo MilanTuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA imekumbwa na shutuma nzito juu ya kura zilizomchagua Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kushinda tuzo hiyo ikidaiwa kura zilikuwa za uongo
Katika hatua nyingine Bodi inayoratibu tuzo hizo imesema kura za Nchi ya Misri hazikuhesabiwa kwasababu saini zilikuwa zimeandikwa kwa herufi kubwa
FIFA imeeleza hayo baada ya Chama cha Soka cha Misri kutaka kujua ni kwanini kura ya Kocha wa timu yao ya Taifa, Shawki Ghareeb na nahodha Ahmed hazikuhesabiwa
Aidha, Kocha wa timu ya Sudan, Zdravko Logarusic na nahodha wa Nicaragua, Juan Barrera wamedai kupitia Mitandao ya Kijamii kuwa kura zao zilizoeneshwa na FIFA hadharani hazikuakisi machaguo yao
Lugarisic amedai kuwa chaguo lake la kwanza lilikuwa Mshambuliaji wa Misri, Mohammed Salah lakini FIFA imeonesha chaguo lake ni Messi huku Barrera naye akidai kutompigia kura Messi kama FIFA ilivyodai
=====
FIFA's prestigious The Best awards have been struck by a vote rigging storm amid claims indicating the ballot was rigged — with the governing body suggesting Egypt's votes were left out after the signatures were written in capital letters.
Lionel Messi walked away with the best men's player accolade at the glitzy ceremony in Milan on Monday, pipping Cristiano Ronaldo and Virgil van Dijk to the award.
Given Van Dijk's remarkable season at Liverpool, where he led the club to their sixth Champions League title, and Ronaldo's excellent campaign at Juventus - Messi's winning award was met with a degree of surprise.
There was also a belief that Mohamed Salah would be a strong contender for the prize.
And now the Barcelona superstar's claim to the honour has been thrown into serious doubt following questions over the legitimacy of the voting.
The Egyptian football association, Sudan's coach Zdravko Logarusic and Nicaragua's captain Juan Barrera have raised concerns over the authenticity of the ballots - citing uncounted or misallocated votes.
Egypt's association called on FIFA to explain why the votes of its national coach Shawki Ghareeb and captain Ahmed were not taken into account. Ghareeb and El-Mohammadi are not mentioned in FIFA's publication of official votes.
FIFA have now indicated that they were not included because signatures on Egypt's ballots 'were in capital letters and thus seemed not valid (not authentic).'
They added that 'voting forms were also not signed by the (federation) general secretary which is mandatory.'
The Egyptian Football Federation claim they officially sent Egypt's vote to FIFA on August 15, four days before the deadline.
Their statement had earlier asked 'FIFA why the Egyptian vote was not accepted' and goes on to confirm the EFA have opened an 'investigation' into the circumstances of this failure.
The Egyptian federation was in turmoil in July and August after its leadership resigned due to the national team's Round of 16 exit at the African Cup of Nations it hosted.
Later in August, FIFA sent an emergency management team to run the Egypt federation.
Additionally, Sudan's coach Lugarisic and Nicaragua's Juan Barrera took to social media to indicate that the votes published by FIFA, in their names, did not reflect their actual choices.
Lugarisic says his first choice was Egypt's Salah but FIFA's voting document showed Messi as his first selection.
Barrera is also adamant that he did not vote for Messi, as claimed by FIFA.
'I did not vote for Messi. I was surprised to be on the list of captains who voted for Messi and there is no explanation how it appeared there,' Barrera is reported to have said.
FIFA determines the best players based on the votes of national team coaches, captains as well as a journalist from each country.
The votes are then made public for transparency. However, the voting system has been called into serious doubt following the alleged discrepancies.
Usipaparukie kujibu kitu kabla ya kuelewa madaTatizo individual statistics zinambeba Messi, tukimwaga hapa statistics za Messi kulinganisha na hao wengine Messi anawatupa mbali vibaya mno, semeni zimwagike hapa category zilizowekwa muone mnaompinga Messi mnavyopotelea shimoni kama panya wameona paka,...
Hoja dhaifu sana, kura zimepigwa Fifa hawakujiamulia!Kwa kuwa hakuna hata mmoja kutoka Afrika
Na hii ni tuzo binafsi so individual statistics za messi ni balaa!huyo ndo mchezaji bora kama kweli MTU anajua Moira hatabisha!!...kura nyingi alipewa na manahodha was timu za taifa na makocha wa timu za taifa!...waandishi wa habari ndo walimpa nyingi vvd so wanaojua mpira ndo wamempa kura!!hats vvd mwenyewe alimpa messsi sasa wewe nani upinge!?Tatizo individual statistics zinambeba Messi, tukimwaga hapa statistics za Messi kulinganisha na hao wengine Messi anawatupa mbali vibaya mno, semeni zimwagike hapa category zilizowekwa muone mnaompinga Messi mnavyopotelea shimoni kama panya wameona paka,...
Utajua mwenyewe ila mimi ndo maono yangu hayo.Hoja dhaifu sana, kura zimepigwa Fifa hawakujiamulia!
basi sawa!Utajua mwenyewe ila mimi ndo maono yangu hayo.
Kama ni kweli hizo tuzo ni za wachezaji wote basi kwa pale liverpool angekuwepo kati ya Mo salah au Mane mana wao ndio walifanikisha mafanikio halisi ya timu.
Kwa kuwa hakuna hata mmoja kutoka Afrika amepenya japo top 5 basi hizi tuzo acha wapeane tu wao kwa wao.
Kwa kiwango cha Ettoo, Okocha, Drogba, na wakali kibao wa Afrika ukimtoa George basi unalazimika kuamini tu kwamba tuzo za FIFA hazina tofauti na zile za Oscar.
wivu umewajaa watu wenu hawana uwezo!Andunje amebebwa.
wivu umewajaa watu wenu hawana uwezo!
Messi ni victim of his own success, amechukua La Liga, Magoli 51 na Assists 19 ndani ya mwaka mmoja lakini bado anauliza huyo Messi kafanya nini kisa tu ni Messi na ni kawaida yake ndio maana hawaoni kitu ila angekua mchezaji mwengine ingekua ni nyimbo na mapambio.
Kwa hiyo walitaka abebe nani.?
Andunje anabebwa........FIFA wanaiba kura.