FIFA yatuhumiwa kwa kumuwezesha Messi kushinda tuzo ya shirikisho hilo

Hili ulilosema litaeleweka na wachache.
 
Hata mwandishi wa hii habari naye ni KILAZA MNAZI. What exellent campaign ya Ronaldo huko Juventus? Sijui namna ya kuvalue contribution ya beki kwa hiyo siwezi kumsemea Van Djyik lakini kwa hili la Ronaldo ni upopoma na wivu wa kike.
 
Kama ni kweli hizo tuzo ni za wachezaji wote basi kwa pale liverpool angekuwepo kati ya Mo salah au Mane mana wao ndio walifanikisha mafanikio halisi ya timu.
Kwa kuwa hakuna hata mmoja kutoka Afrika amepenya japo top 5 basi hizi tuzo acha wapeane tu wao kwa wao.
Kwa kiwango cha Ettoo, Okocha, Drogba, na wakali kibao wa Afrika ukimtoa George basi unalazimika kuamini tu kwamba tuzo za FIFA hazina tofauti na zile za Oscar.
 
Jecha Salimu Jecha alikuwepo Milan
 
Usipaparukie kujibu kitu kabla ya kuelewa mada
 
Na hii ni tuzo binafsi so individual statistics za messi ni balaa!huyo ndo mchezaji bora kama kweli MTU anajua Moira hatabisha!!...kura nyingi alipewa na manahodha was timu za taifa na makocha wa timu za taifa!...waandishi wa habari ndo walimpa nyingi vvd so wanaojua mpira ndo wamempa kura!!hats vvd mwenyewe alimpa messsi sasa wewe nani upinge!?
 

Mkuu sasa nawewe acha masihara yako, Sasa Okocha na Drogba mwaka gani ulitaka wapenye?
 

Waswahili ndivyo walivyo, huwa hawakosi maneno ya kulalama....hapo wanalalamikia kura tatu tu ambazo hazikuhesabiwa from egypt and sudan, tena ni tetesi na hakuna evidence yoyote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..ambazo kura hizo zikijumlishwa and still la purga ananyakua tuzo...wivu unawasumbua hawa viumbe!
 
Kwa hiyo walitaka abebe nani.?


Angebeba Van djik au cr7 wasingetoa povu..wakati statistics zinaongea, na waliopiga kura hizo sio FIFA lakini mswahili bado hakuelewi tu, sometimes nasema bora ningezaliwa kwa weupe πŸ˜€ huku jamaa zangu wananiaibisha kinoma kamanda πŸ˜€πŸ˜€
 
Andunje anabebwa........FIFA wanaiba kura.

Ndicho ulichokariri sio? wakati huna ushahidi wowote?

FIFA walitoa mgawanyo wa makundi manne ambayo yote yana usawa ya kuchangia asilimia 25 katika upigaji kura!! Ili nikuone unajuwa mpira naomba unitajie idadi ya hayo makundi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…