FIFA yatuhumiwa kwa kumuwezesha Messi kushinda tuzo ya shirikisho hilo



Msimu wa 2018-2019;👇

Europe top scorer👍
Barcelona top scorer👍
Champions league top scorer👍
La liga top scorer👍
Barcelona most assists👍
La liga most assists👍
Most La liga MOTM Awards👍
Most UCL MOTM Awards👍
Most chances created👍
Most goal contributions in the top 5 leagues👍
Most points won for his team in the top 5 leagues👍
Most free-kick goals👍
Most braces👍
Most hat-tricks👍
Top scorer & Top 6 EPL teams👍
Contibuted to 74/96 team goals👍
UCL most man of the week👍
UCL best foward👍
UCL goal of the tournament👍
Pichichi award (La liga golden shoe)👍
6th European golden shoe 2019 (record)👍
Most goals outside box👍
La liga MVP👍

ESPY Best international Men's soccer player of the year👍


Kwa upande wako nani unadhani aliestahili kupewa tuzo hiyo? Naomba Uje na fact za kuweleweka kamanda!
 
Ndicho ulichokariri sio? wakati huna ushahidi wowote?

FIFA walitoa mgawanyo wa makundi manne ambayo yote yana usawa ya kuchangia asilimia 25 katika upigaji kura!! Ili nikuone unajuwa mpira naomba unitajie idadi ya hayo makundi??


Hujasikia kocha na nahodha waliokataa kumpigia kura andunje na FIFIA wamempa kura zao andunje?
 
Mimi mwenyewe nimestaajabu lionel messi kuchukua tena this time..


"Watu waliopiga kura ndio wameamua na inatakiwa kukubali..hivyo ndivyo ilivyo na kama wachezaji huwezi kutulinganisha mimi na Messi kwa sababu ni tofauti kabisa...Najivunia kuwa hapa" maneno ya Van djik haya!


Na isitoshe huyo huyo Van djik na Sadio mane walipoulizwa kwenye ishu ya Ballon D' OR walisema Messi anastahili kushinda hiyo tuzo...sasa mimi na wewe kama nani tubishe!! Mungu aniepushe na chuki aise!!
 
Huyo Van kazi yake ni kukaba tu na kugeuka, wanalinganisha na mtu anaekimbia kilomita nane uwanjanni, anafunga, anatoa pasi, na anfunga magolli Bora. Na anaongoza kwa ufungaji.
 
Huyo Van kazi yake ni kukaba tu na kugeuka, wanalinganisha na mtu anaekimbia kilomita nane uwanjanni, anafunga, anatoa pasi, na anfunga magolli Bora. Na anaongoza kwa ufungaji.

Kamanda idawa! Tatizo ni kwamba watu wanataka iwe kama wanavyotaka wao na sio kama inavyotakiwa...alafu unaweza kumuuliza mtu kwanini unalalamika na asikupe jibu la maana 😀😀
 


Wajomba hawachoki kulalamika kamanda, bora wakaushie tu...

MESSI 48%
VAN DJIK 38%
RONALDO 36%
SALAH??

Sasa wanatoa povu kisa kura 2 sijui 3, ambazo hata ukizipunguza kwa Messi haimzui kuchukua....japo ni uongo kwa sababu tu hawampendi....na bado Ballon d' or inamsubiri ndio watapasuka kabisa.
 
Hili lina maksi ngapi?

Nimekuuliza, nawe unaniuliza tena..ha haa haya bwana 😀

Ni hivi, Messi amepata 48%...Van djik 38%...Ronaldo 36%...Salah wanne

Sasa hizo kura 2 kweli zitamfanya Messi asichukue!!!!, okay ongeza zifike 10 kwa salah na bado King angechukua tu...He deserved kama kawaida yake.
 
Hiyo tuzo Amestahili Messi na hao warabu tunajua wana bifu na Messi tokea kipindi kile Argentina igome kwenda kucheza nchi ya kiarabu ndio kutokana nai ule mzozo wa israel kuwa mji mkuu was Jerusalem na Messi alikuwa kama mhamasishaji wa Argentina kuahilisha mchezo hapo ndio bifu la warabu na Messi lilipoanzia
Kwahiyo kuna mengi nyuma ya pazia lkn kwa mwanamichezo najua tunatambua Messi ilistahili hiyo tuzo 💯%
 

Msimu wa 2018-2019;👇

Europe top scorer👍
Barcelona top scorer👍
Champions league top scorer👍
La liga top scorer👍
Barcelona most assists👍
La liga most assists👍
Most La liga MOTM Awards👍
Most UCL MOTM Awards👍
Most chances created👍
Most goal contributions in the top 5 leagues👍
Most points won for his team in the top 5 leagues👍
Most free-kick goals👍
Most braces👍
Most hat-tricks👍
Top scorer & Top 6 EPL teams👍
Contibuted to 74/96 team goals👍
UCL most man of the week👍
UCL best foward👍
UCL goal of the tournament👍
Pichichi award (La liga golden shoe)👍
6th European golden shoe 2019 (record)👍
Most goals outside box👍
La liga MVP👍

ESPY Best international Men's soccer player of the year👍


Kwa upande wako nani unadhani aliestahili kupewa tuzo hiyo? Naomba Uje na fact za kuweleweka kamanda!

Hakika baadhi ya dhana ni dhambi...wewe huna uhakika ukisemacho bali umesikia tu...basi naomba individual performance za hao jamaa zako tulinganishe na za Messi...


Na hata kama utazipunguza hizo kura 2 ambazo mnadai zimechakachuliwa zisingemuondolea Messi kushinda hiyo tuzo.
 

Tuacheni ushabiki usiokuwa na maana bwana...hayo mafanikio unayozungumzia ni ya lini?

Msimu wa 2018-2019;👇


Europe top scorer👍
Barcelona top scorer👍
Champions league top scorer👍
La liga top scorer👍
Barcelona most assists👍
La liga most assists👍
Most La liga MOTM Awards👍
Most UCL MOTM Awards👍
Most chances created👍
Most goal contributions in the top 5 leagues👍
Most points won for his team in the top 5 leagues👍
Most free-kick goals👍
Most braces👍
Most hat-tricks👍
Top scorer & Top 6 EPL teams👍
Contibuted to 74/96 team goals👍
UCL most man of the week👍
UCL best foward👍
UCL goal of the tournament👍
Pichichi award (La liga golden shoe)👍
6th European golden shoe 2019 (record)👍
Most goals outside box👍
La liga MVP👍

ESPY Best international Men's soccer player of the year👍


Kwa upande wako nani unadhani aliestahili kupewa tuzo hiyo? Naomba Uje na fact za kuweleweka kamanda!

Hakika baadhi ya dhana ni dhambi...wewe huna uhakika ukisemacho bali umesikia tu...basi naomba individual performance za hao jamaa zako tulinganishe na za Messi...


Na hata kama utazipunguza hizo kura 2 ambazo mnadai zimechakachuliwa zisingemuondolea Messi kushinda hiyo tuzo.
 
mzigizo kama TIFUTIFU.
 
Pamoja na vigezo vyoote hivyo bado wamechakachua kura za wapiga kura, kwa nini?
 
Mkuu sasa nawewe acha masihara yako, Sasa Okocha na Drogba mwaka gani ulitaka wapenye?
Jiongeze mkuu sio kila kitu utafuniwe, inamana hujui walicheza vipindi gani? Na hawakuwahi ingia hata top 5 ya contenders hata mara moja.
 
Unataka ushahidi gani zaidi ya huu unaojadiliwa hapa, au unakipele kinakuwasha?


Hizo ni tuhuma/tetesi tu..so huna ushahidi wowote kijana wangu...FIFA walitoa mgawanyo wa makundi manne ambayo yote yana usawa ya kuchangia asilimia 25 katika upigaji kura!! Sasa unavyoilalamikia FIFA tukuelewe vipi!! utaonekana zuzu hujui mpira...hata kama wangeamua kuzipunguza hizo kura 2 za egypt na 1 ya Sudan ambazo mnadai zimechakachuliwa still zisingemuondolea Messi kushinda hiyo tuzo....na kumbuka kuwa Salah ni wanne, sasa kwa akili yako hizo kura 3 zingemfanya awe nafasi ya kwanza au ya pili!!!!!!!


Alafu kuwa na busara kijana, hizo kauli zako peleka hukoo facebook...huna hoja za msingi kaa pending!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…