FIFA yatuhumiwa kwa kumuwezesha Messi kushinda tuzo ya shirikisho hilo

Mdogo ake andunje.................

uwe unaelewa swali kabla hujajibu.
 
Mdogo ake andunje.................

uwe unaelewa swali kabla hujajibu.

Wewe ndio elewa swali kabla hujajibu, ndio shida ya mswahili πŸ˜€ akiishiwa hoja anapanic...nimekupa swali dogo tu umeshindwa kulijibu...my advice to you..Don't speak if you don't know what you're talking about!
 
Jiongeze mkuu sio kila kitu utafuniwe, inamana hujui walicheza vipindi gani? Na hawakuwahi ingia hata top 5 ya contenders hata mara moja.

Sasa mkuu Okocha ataingiaje kwenye top 5 contenders na anacheza Bolton ? kila siku yupo kwenye kugombea kutoshuka daraja? aingie yeye kwenye top halafu akina Zidane, Rivaldo, Figo, Ronaldo na wengineo wanaogomebea ubingwa wa ligi, Champion league na World cup wao wakae wapi?

Wabongo mda mwangine huwa na fikra za ajabu kabisa
 
Wewe ndio elewa swali kabla hujajibu, ndio shida ya mswahili πŸ˜€ akiishiwa hoja anapanic...nimekupa swali dogo tu umeshindwa kulijibu...my advice to you..Don't speak if you don't know what you're talking about!

Dogo unatumia nguvu nyingi sana kutetea ujinga.

Kifupi andunje kapewa kura ambazo hakustahili.

............
 
Dogo unatumia nguvu nyingi sana kutetea ujinga.

Kifupi andunje kapewa kura ambazo hakustahili.

............

Umekariri neno moja tu "Hakustahili" unaonyesha bado mchanga sana kwenye hivi vitu..so huna hoja za kubishana na mimi kijana. Naomba tuishie hapo tufanye na mambo mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…