FIFA: Zanzibar sio nchi

Hii hapa[emoji121]

Labda hukunielewa dada faiza kuwa uko sahihi, shida yangu ni wenzio walio wengi kusita kujitokeza hadharani kuwaambia ukweli wa zenj kuwa znz sio nchi kamili

Wasemaji wakiwa wengi si itakuwa vurugu mechi!

Basi hata picha huoni?.
 
Naomba moderator uhamishie uzi huu kwenye jukwaa la siasa ili ukumbi huu uendelee kijadili michezo.
 
Kucheza mpira mnajua?
 

umemaliza kila kitu,Mjadala ufungwe tafadhali
 
Usipotoshe umma, hivi mnapata wapi ari ya kudanganya tu. Suala likuwa Zanzibar inihoji FIIFA njia zilizotumiwa na TFF kupata usajili wa FIFA hazikuwa sahihi. Tanzania ni muunganoi wa nchi mbili, hivyo haipaswi chama cha mpira wa mshirika ....
Nikisema wewe ndio muongo mkubwa nitakuwa kama jamaa aliyeibiwa nguo mtoni akatoka mtupu kumfukuza mwizi, wote tutaonekana machizi.

Mimi nimeleta uthibitisho huu hapa:


Sasa na we lete uthibitisho kwamba Nape na mimi tumedanganya umma.
 
Even bofore tanganyika, ukanda wa pwani na zanzibar kabla ya wakoloni ilikuwa kitu kimoja.
Nkweli lakini hukweka wazi, nakusaidia " Even bofore tanganyika, ukanda wa pwani kabla ya wakoloni ilikuwa Zanzibar"
 
Nikisema wewe ndio muongo mkubwa nitakuwa kama jamaa aliyeibiwa nguo mtoni akatoka mtupu kumfukuza mwizi, wote tutaonekana machizi.

Mimi nimeleta uthibitisho huu hapa:


Sasa na we lete uthibitisho kwamba Nape na mimi tumedanganya umma.
Uthibitisho wa kwanza " justice delayed is justice denied" Mhe. hakusema kipi kimechelewesha kutolewa uamuzi ambao tayari ulikuwa umeshatumwa na FIFA zaidi ya miaka miwili sasa
Pili, siku unaekwenda uchi ndio siku unakutana na mkweo. Muuliza swali mhe. Hafidh hakuwepo bungeni siku hiyo angeweza kuwatosha pengine hata kui" table" mbele ya baraza barua halisi kutoka FIFA,
Tatu, Mhem Nape amesharuka kimanga kuwahayo yalifanyika awamu ya nne( maana yake hayafahamu vizuri
Nne ambalo ni kubwa. Ngoma ndio kwanza inaanza
 
Hivi tuseme wazanzibari hawajijui kuwa wamefunikwa na Tanzania bara? Wapinzani km Cuf wakiwasaidia ndugu zao wajikomboe, wazanzibar haohao wanaanza kuwanyenyekea vibaraka wanaowekwa na watu wa bara. Wazanzibari walikua na nafasi kubwa ya kupata heshima yao wkt wa uchaguzi, lkn wakaunga mkono hila za mwenyekiti wa time. Sasa watulie tu wa bara waendelee kuwaatamia. Kwao kuatamiwa tena na watu wa bara ni fahari kuliko utu wao
 
Hili jambo lazima litaingia siasa wewe sasa ulitegema jibu lije vipi wakati ushaambiwa zanzibar sio nchi
Sadaka! Ndio maana nikasema lipelekwe jukwaa la siasa. Kama wangesema Zanzibar Heroes siyo timu, huu ungekuwa ndio ukumbi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…