FIFA: Zanzibar sio nchi

FIFA: Zanzibar sio nchi

Hii hapa[emoji121]

Labda hukunielewa dada faiza kuwa uko sahihi, shida yangu ni wenzio walio wengi kusita kujitokeza hadharani kuwaambia ukweli wa zenj kuwa znz sio nchi kamili

Wasemaji wakiwa wengi si itakuwa vurugu mechi!

Basi hata picha huoni?.
 
Nimefurahi na Jibu la Nape
Maaana CUF kila siku tukisema kua huu muungano una matatizo hawataki na wanatutukana tukiwaambia kua tunataka Zanzibar yenye mamlaka kamili walikua wakitutukana sasa leo sijui wanasemaje
Ukweli kua zanzibar haiwezi kua mwanachama mpaka tuwe na mamlaka kamili
Naomba moderator uhamishie uzi huu kwenye jukwaa la siasa ili ukumbi huu uendelee kijadili michezo.
 
Zanzibar ni nchi ilio na internal sovereighnty . Ktk muungn zanzibar imepoteza external sovereighnty.
Nahis wanacho fanya fifa ni ukoloni mamboleo na kutaka kutugombanisha wa Tanzania.
Scotland ni sw sw na zanziba mbn wao wamewakubl na kuwa wanachama wa fifa?
Scotland ipo ktk muungano na england na tulichopoteza sisi ktk muungn ndicho walichopoteza scotland sasa kwann wao wakubaliwe sisi tusikubaliwe ? Au kwa kuwa sisi ni waafrika?
Kucheza mpira mnajua?
 
Usipotoshe umma, hivi mnapata wapi ari ya kudanganya tu. Suala likuwa Zanzibar inihoji FIIFA njia zilizotumiwa na TFF kupata usajili wa FIFA hazikuwa sahihi. Tanzania ni muunganoi wa nchi mbili, hivyo haipaswi chama cha mpira wa mshirika mmoja kuchukua mamalaka ya kumsemea mshirika mwengine,

FIFA haijasema kama Zanzibar sio nchi, na si wa pumbavu wa kusema hivyo. Nakufahamisha kilichotokea kwa faida yako na watu wenye akili zinazolingana wewe. Hivyo ndivyo Zanzibar ilivyoituhumu TFF kuvaa koti la muungano walipokwenda kuomba uanachama. Jambo hili ndio lilounda jopo kwenda Zurich ili wapate ufumbuzi, FIFA ilieleza wazi kuwa si Tanganyika wala Zanzibar kama washirika wa muungano ambayo ana haki ya kupata uanachama wa FIFA. Hivyo FIFA waliitaka TFF na ZFF kukaa pamoja na kuwafikiana na wapeleke chombo kinachokubaliwa na pande hizo mbili.Taarifa ime sema si Tanganyika wala Zanzibar itakayokubaliwa kuwa mwana chama wa kujitegemea.Tanganyika na Zanzibar hazitakuwa wanachama wa Fifa na chombo mahsusi kitakachoundwa ndio kitasimamia michezo

Uamuzi huu TFF hawakuupenda na matokeo yake kufichwa mpaka yalipotokea mabadiliko ya mfumo wa uongozi Zanzibar, na cheo cha Naibu Waziri Kiongozi kufutwa na Shamhuna kupoteza madaraka hayo. Hayo ndio yaliojiri. na hata hivyo hilio halijafa na ulipokuja mchakato wa katiba nawazanzibari kuunga mkono uwepo wa serikali tatu, hilo litajadiliwa .

umemaliza kila kitu,Mjadala ufungwe tafadhali
 
Usipotoshe umma, hivi mnapata wapi ari ya kudanganya tu. Suala likuwa Zanzibar inihoji FIIFA njia zilizotumiwa na TFF kupata usajili wa FIFA hazikuwa sahihi. Tanzania ni muunganoi wa nchi mbili, hivyo haipaswi chama cha mpira wa mshirika ....
Nikisema wewe ndio muongo mkubwa nitakuwa kama jamaa aliyeibiwa nguo mtoni akatoka mtupu kumfukuza mwizi, wote tutaonekana machizi.

Mimi nimeleta uthibitisho huu hapa:



Sasa na we lete uthibitisho kwamba Nape na mimi tumedanganya umma.
 
Even bofore tanganyika, ukanda wa pwani na zanzibar kabla ya wakoloni ilikuwa kitu kimoja.
Nkweli lakini hukweka wazi, nakusaidia " Even bofore tanganyika, ukanda wa pwani kabla ya wakoloni ilikuwa Zanzibar"
 
Nikisema wewe ndio muongo mkubwa nitakuwa kama jamaa aliyeibiwa nguo mtoni akatoka mtupu kumfukuza mwizi, wote tutaonekana machizi.

Mimi nimeleta uthibitisho huu hapa:



Sasa na we lete uthibitisho kwamba Nape na mimi tumedanganya umma.

Uthibitisho wa kwanza " justice delayed is justice denied" Mhe. hakusema kipi kimechelewesha kutolewa uamuzi ambao tayari ulikuwa umeshatumwa na FIFA zaidi ya miaka miwili sasa
Pili, siku unaekwenda uchi ndio siku unakutana na mkweo. Muuliza swali mhe. Hafidh hakuwepo bungeni siku hiyo angeweza kuwatosha pengine hata kui" table" mbele ya baraza barua halisi kutoka FIFA,
Tatu, Mhem Nape amesharuka kimanga kuwahayo yalifanyika awamu ya nne( maana yake hayafahamu vizuri
Nne ambalo ni kubwa. Ngoma ndio kwanza inaanza
 
Hivi tuseme wazanzibari hawajijui kuwa wamefunikwa na Tanzania bara? Wapinzani km Cuf wakiwasaidia ndugu zao wajikomboe, wazanzibar haohao wanaanza kuwanyenyekea vibaraka wanaowekwa na watu wa bara. Wazanzibari walikua na nafasi kubwa ya kupata heshima yao wkt wa uchaguzi, lkn wakaunga mkono hila za mwenyekiti wa time. Sasa watulie tu wa bara waendelee kuwaatamia. Kwao kuatamiwa tena na watu wa bara ni fahari kuliko utu wao
 
Hili jambo lazima litaingia siasa wewe sasa ulitegema jibu lije vipi wakati ushaambiwa zanzibar sio nchi
Sadaka! Ndio maana nikasema lipelekwe jukwaa la siasa. Kama wangesema Zanzibar Heroes siyo timu, huu ungekuwa ndio ukumbi wake.
 
Back
Top Bottom