Usipotoshe umma, hivi mnapata wapi ari ya kudanganya tu. Suala likuwa Zanzibar inihoji FIIFA njia zilizotumiwa na TFF kupata usajili wa FIFA hazikuwa sahihi. Tanzania ni muunganoi wa nchi mbili, hivyo haipaswi chama cha mpira wa mshirika mmoja kuchukua mamalaka ya kumsemea mshirika mwengine,
FIFA haijasema kama Zanzibar sio nchi, na si wa pumbavu wa kusema hivyo. Nakufahamisha kilichotokea kwa faida yako na watu wenye akili zinazolingana wewe. Hivyo ndivyo Zanzibar ilivyoituhumu TFF kuvaa koti la muungano walipokwenda kuomba uanachama. Jambo hili ndio lilounda jopo kwenda Zurich ili wapate ufumbuzi, FIFA ilieleza wazi kuwa si Tanganyika wala Zanzibar kama washirika wa muungano ambayo ana haki ya kupata uanachama wa FIFA. Hivyo FIFA waliitaka TFF na ZFF kukaa pamoja na kuwafikiana na wapeleke chombo kinachokubaliwa na pande hizo mbili.Taarifa ime sema si Tanganyika wala Zanzibar itakayokubaliwa kuwa mwana chama wa kujitegemea.Tanganyika na Zanzibar hazitakuwa wanachama wa Fifa na chombo mahsusi kitakachoundwa ndio kitasimamia michezo
Uamuzi huu TFF hawakuupenda na matokeo yake kufichwa mpaka yalipotokea mabadiliko ya mfumo wa uongozi Zanzibar, na cheo cha Naibu Waziri Kiongozi kufutwa na Shamhuna kupoteza madaraka hayo. Hayo ndio yaliojiri. na hata hivyo hilio halijafa na ulipokuja mchakato wa katiba nawazanzibari kuunga mkono uwepo wa serikali tatu, hilo litajadiliwa .