Fight For Trump! Save Amerika- Save the World!

Fight For Trump! Save Amerika- Save the World!

America is probably going downwards on the path of complete destruction. This election inaweza kuwa historic kwa dunia nzima
 
Democrats wanaiaibisha sana marekani, Yani kweli wameiba kura wazi wazi hivi 😟😟 Hapana kwakweli, Trump ndie raisi mwenye kura halali ukiachana na zile feki za biden
 
Democrats wanaiaibisha sana marekani, Yani kweli wameiba kura wazi wazi hivi 😟😟 Hapana kwakweli, Trump ndie raisi mwenye kura halali ukiachana na zile feki za biden
Mkuu ushaidi uko wapi?
Acheni maneno ya kijinga ya kuwekewa mdomoni. Sikiliza media za Kweli na Matokeo ya Kweli.
Trump mpaka leo ameshindwa kutoa ushahidi mahakamani wajinga mmekazana eti Dems wameiba kura!!! Clap.
 
Babu (Trump) haamini kama anaondoka White house mwakani.
 
Yaani trump atajua kama hajui. Aliwekeza Sana kwa WAYAHUDI kuliko kwa wamarekani waliompigia kura. Sasa atavuna alichopanda.
Mkuu una akili kweli wewe (in joti's voice)

 
Trump kama Trump hajashindwa bado
Mbona hataki kuelewa??
☺💣💥
 
"I will never allow special interest groups to run over our country. I will always do the right thing for which democratic patriotism stands and which constitution demands."~ Donald Trump
 
D.Trump katoa hii, Fight for Trump, save Amerika - save the World, ...

Achana na mambo ya trump
Bado tunakuhitaji kwenye siasa zetu za bongo
Tuzidi kumpa ushauri rais wetu

Ova
 
Trump kama Trump hajashindwa bado
Mbona hataki kuelewa??
☺💣💥
Ameshaelewa, Ila anachangisha pesa ili aweze kulipa madeni yake, Baada ya Senate Majority Leader Mzee Mitch kumtambua Biden hadharani ndio ulikuwa Mwisho wa Claims za Trump, Alipoanza malalamiko yake ya kudai ana ushaidi na kutaka kwenda Mahakamani walimkubalia na kumwacha afanye hivyo, uko Mahakamani amejikuta hana ushahidi.
Ameumbuka, alifungua kituo cha kutafuta ushahidi kwa yoyote aliyeona tukio lolote la Wizi wa kura, hamna kilichotokea, alidanganywa kuwa Winsconsin kuna udanganyifu wa kura 200,000 akatoa dollar 3M Kuhesabu kura upya, zikamuongezea Biden kura 137.
Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom