andrymta
Member
- Jan 30, 2017
- 41
- 23
U.k hawawez cheza saa 11 asbh,ayo ni mapambano ya marekaniHayo mapambano ya utangulizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U.k hawawez cheza saa 11 asbh,ayo ni mapambano ya marekaniHayo mapambano ya utangulizi
Wewe humjui Parker wewe ndio maana unajiropokea tuMechi inaisha kwa t.k.o joshua anashinda kwa sabb zfuatazo,,,,power punches,stamina,combination of punches na sahv amepunguza uzito sana kwnye hili pambano compared na mapambano ya nyuma so tutegemee atakua na speed zaidi uck wa leo ukijumlisha na physical appearance anashindaa kwa kishindo zaidi ya huyo samoa
Mm ni mfatiliaj mzur sana wa boxing yawezekana wewe unadandia huu mchezo,na unaposema aj anapoteza unasema kwa factWewe humjui Parker wewe ndio maana unajiropokea tu
Hhhhh ww ndo unaropokaga ooh mayweather anamchapa wilder,,,ooh wilder atapoteza kwa stiverne,,,leo umerud joshua atakaa hv ww unafatilia kweli boxing au mihemkoWewe humjui Parker wewe ndio maana unajiropokea tu
Nshaidownloadsky sports wale online na mobdro
Download 1xbet af kujiunga ni email na phone # utaona live streaming zote dunianNimeshaa jaribu kutafuta kila mahala wajama wamebana. Ukikuta live streaming unatakiwa ujisajili halafu uweke visa namba ""angameshtuka msee!!!!" nasubiri tuu kesho kwenye magazeti sina ujanja hapo ndipo uafrika unapokuwa mchungu unatamani kitu lakini kila ukifurukuta unagonga mwamba
Jamaa balaa ...hili pambano hulioni bila kulipia dadadeki .....huko you tube watu wanahangaika tu ....noma sana ...