Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpo wapi team parker,,, mwanaume kaondoka na mikanda minneMshindi Parker hata iweje yani
AJ kashinda kwa point
AJ akipanda na Wilder , AJ atafia uwanjaniKashinda kwa pointi ila sidhani kama hiyo margin ni sawa.
The fight was closer than that!
AJ akipanda na Wilder , AJ atafia uwanjanj
Yaani hiki ki AJ tunakitamani sana sisi team WilderTena atashikishwa adabu mpaka basi..
Kashinda kwa pointi ila sidhani kama hiyo margin ni sawa.
The fight was closer than that!
![]()
MATOKEO: Bondia Anthony Joshua wa Uingereza amefanikiwa kuchukua mkanda wa WBO baada ya kumpiga kwa points bondia Joe Parker wa New Zealand
Majaji katika ngumi hizo walimpa Joshua ushindi wa 118 - 110, 118 - 110, 119 - 109
Joshua sasa anamiliki mikanda ya WBO, IBF, WBA
======================
Hatimaye siku imewadia, mpambano usiotabirika kati ya Anthony Joshua na Joe Parker unatarajia kuvuta washabiki wa ngumi duniani.
Wote wakiwa hawajawahi kupoteza pambano lolote na wakiwa miongoni mwa mabondia bora wa zama hizi wanatarajia kuthibitishia dunia kuwa ni mabondia wasiopigika.
Joe Parker anatarajiwa kubadili kile kilichoshinda wengi akiwemo mkongwe Klitschko kwa kumlambisha sakafu Anthony Joshua.
Lakini Anthony Joshua ambaye kwasasa ndie star wa masumbwi duniani na mwenye washabiki kuliko bondia yeyote duniani anatarajiwa kushinda pambano hili kutokana na rekodi yake.
Anthony Joshua kama leo akishinda atakuwa amechukua mikanda minne kati ya mitano ya ubingwa wa dunia! Mkanda utaobakia wa WBC upo kwa Deontay Wilder.
Kama akichukua na huo atakuwa undisputed heavyweight champion of the world ikiwa ni mara ya kwanza kwa bondia kutoka UK baada ya Lennox Lewis miaka ya mwanzoni ya 2000.
What is your final predictions?
AJ akipanda na Wilder , AJ atafia uwanjani
Endelea kuotaDaaaah uyu AJ inabidi anipigie na wilder sasa kufuta ubishi
Punguza mihemko mkuu...AJ akipanda na Wilder , AJ atafia uwanjani