Fight Night: Anthony Joshua ampiga kwa points Joe Parker

Fight Night: Anthony Joshua ampiga kwa points Joe Parker

Huyu AJ ana asili ya Nigeria? His superb athleticism makes one wanna make that kind of observation.
 
Hv huyo Joshua kwa nn asiwekewe mtu kama myweather au manpakiao ili tujue kama yeye ni kidume kweli
 
Hv huyo Joshua kwa nn asiwekewe mtu kama myweather au manpakiao ili tujue kama yeye ni kidume kweli
Hivi mko dunia gani? Hebu angalia hii picha kama unaweza kuwaweka ulingo mmoja kama si kutaka mtu afe ....

Screenshot_20180401-142402.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa unaonekana sio mdau wa ngumi kabisa kwa hii comment yako. Nimecheka sana!
Hoja imewekwa kwenye jukwaa LA habari na hoja mchanganyiko sio jukwaa LA wadau wa ngumi, hivyo kila m2 ana Uhuru wa kuchangia
 
Hoja imewekwa kwenye jukwaa LA habari na hoja mchanganyiko sio jukwaa LA wadau wa ngumi, hivyo kila m2 ana Uhuru wa kuchangia
Sawa lakini mchango ulivyo kituko ndio ulionichekesha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hv huyo Joshua kwa nn asiwekewe mtu kama myweather au manpakiao ili tujue kama yeye ni kidume kweli

Manny Pacquiao Ameshapotea Mchezoni Sasahivi Hata Umueke na Mada Maugo basi Pac atapigwa.
Jaribu Kufatilia Masumbwi.
 
Mechi inaisha kwa t.k.o joshua anashinda kwa sabb zfuatazo,,,,power punches,stamina,combination of punches na sahv amepunguza uzito sana kwnye hili pambano compared na mapambano ya nyuma so tutegemee atakua na speed zaidi uck wa leo ukijumlisha na physical appearance anashindaa kwa kishindo zaidi ya huyo samoa
Ahsante sana Mwl. Kashasha,
Tumekuelewa
 
-Deontay-Wilder.jpg
Deontay-Wilder0.jpeg

Natamani Antony Akutane na Mwambaa huu ndio nitamkubalii... sio kuonea vikina Parkerzz
 
Back
Top Bottom