Fighting CYBERCRIME in Tanzania

Fighting CYBERCRIME in Tanzania

kwikwikwikwikwikwi Dr uamvua nguo mwenzako haya muwe mnaambiana kwenye PM.......sasa kijana yu kama alivyozaliwa.......

......yaani kaona anaitwa JIDE kajua ni demu tehe tehe tehe

Kama nimemvua nguo naomba umvike, hiyo sio nia yangu.

Dogo tunamrekebisha, siku za usoni anaweza akajikuta mikononi mwa FBI wakati anaweza kujirekebisha na wala sio soo ukileta article ya mtu na kumpa credit zake, ili mradi tu somo liwe relevant. Lakini 'ujanja' anaoleta dogo ni wa kijinga kupitiliza.
 
Samahani nimechukua maelezo kidogo tu kutoka katika website ya JIDE AWE kumhakikishia Shy kuwa huyu jamaa sio Dada bali ni mzee wa watu ambaye kwa hakika shy hastahili kufunga gidamu ya viatu vyake kwenye masuala ya I.T


JIDE AWE - Managing Director / CEO
Mr Jide Awe graduated with B.Sc. & Being (Double Degrees) Enhanced Honours (Second Class Upper Division) in Electrical and Electronic Engineering, from Loughborough University of Technology, England, in July 1983. He has over 22 years experience in the Computer and Telecommunications industries. He is a Full member of several Professional Organizations such as the Nigerian Society of Engineers (NSE), the Nigeria Computer Society (NCS) and the Computer Professionals Registration Council of Nigeria (CPN).
 
Lifer i think 90% of all those people cought ar either using equipments got from kenya or they ar kenyans. atleast maybe 3% ar from tanzania and they used their brains to understand the machines and use them in their own advantages.

Some times understanding something and using it differently ***helping u*** it has its taste.
cheers
 
Nashangaa mtu mzima unakuja kubishana vitu kama hivi ambavyo hata hujui havitakufa faida yoyote
 
Amanigk mimi ndio najua ukweli kuhusu swala hilo
bwa a a a a a a a......ina maa wewe ndio unamuandikia article jide then unampa aweke kwenye site yake? tehe tehe
 
Nashangaa mtu mzima unakuja kubishana vitu kama hivi ambavyo hata hujui havitakufa faida yoyote
huwezi kukopi maandiko ya mtu bila kutoa kuweka yalipotoka......
 
huwezi kukopi maandiko ya mtu bila kutoa kuweka yalipotoka......

Mwambie kijana wetu Shy akiweza kumuandikia huyo "dada" article hakyanani nitaamini ameshagraduate masomo yake ya I.T.... kidding
 
Hayo ni yangu au unataka nikupe email ambayo yeye aliniomba na nikampa atumie katika tovuti yake ??
 
Hayo ni yangu au unataka nikupe email ambayo yeye aliniomba na nikampa atumie katika tovuti yake ??

nipe hiyo email ya hyu "dada" mtu mpaka anakutumia email bado tu hujajua kama ni kaka au dada acha hizo shy usinletee za kizamani..... mpaka siku utakapojua kuwa mkweli ndipo nitakuamini
 
Back
Top Bottom