Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
kwikwikwikwikwikwi Dr uamvua nguo mwenzako haya muwe mnaambiana kwenye PM.......sasa kijana yu kama alivyozaliwa.......
......yaani kaona anaitwa JIDE kajua ni demu tehe tehe tehe
Kama nimemvua nguo naomba umvike, hiyo sio nia yangu.
Dogo tunamrekebisha, siku za usoni anaweza akajikuta mikononi mwa FBI wakati anaweza kujirekebisha na wala sio soo ukileta article ya mtu na kumpa credit zake, ili mradi tu somo liwe relevant. Lakini 'ujanja' anaoleta dogo ni wa kijinga kupitiliza.