Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza.
Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na ibada huwa Virusi vya Covid-19 vinakaa nje kwanza hadi wamalize ibada.
Waoga sana sana