wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Wakome.
Kwahiyo mechi ya Yanga vs Simba haitakuwepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mechi ya Yanga vs Simba haitakuwepo?
Mbowe si anasema Selikali haifanyi juhudi zozote kuzuia ueneaji wa covid?Upeo mdogo wa wateule wa Rais ndipo unapoishia.
Mbowe ni Zombi, mpaka amewambukiza Wafuasi wake uzombi,anasema eti Tanzania kuna corona alafu anawambia Wafuasi wake wakusanyike ktk kongomano la Katiba,na wanaenda, wakati sharti mojawapo la kujikinga na corona ni kutokusanyika,kama sio uzombi ni kitu gani.Mbowe si anasema Selikali haifanyi juhudi zozote kuzuia ueneaji wa covid?
Sasa anataka vikongamano vya nini?
KUTOKA, MAKAO MAKUU DODOMA.Mbowe ni Zombi, mpaka amewambukiza Wafuasi wake uzombi,anasema eti Tanzania kuna corona alafu anawambia Wafuasi wake wakusanyike ktk kongomano la Katiba,na wanaenda, wakati sharti mojawapo la kujikinga na corona ni kutokusanyika,kama sio uzombi ni kitu gani.
You have" LACK OF POLITICAL CONSCIOUSNESS "🤣🤣🤣 Mijitu mingine MIJINGA SANAA🙄🙄🤨🤨🤨😃😃Hakuna cha kongamano wala upuuzi mwingine wowote.Hiyo ni marufuku
Kikao cha ngedere huko Dodoma hawa hawafi kwa coronaHata hivyo, wajumbe kwa pamoja waliweka maazimio ya kuendelea na zoezi hilo la usajili wa wanachama kwa njia ya Kielektroniki kwa Kasi na ari zaidi. Vikao hivyo ni muendelezo wa ziara inayotarajiwa kufanywa na idara hiyo nchi nzima ili kuhakikisha kwamba Chama kinazidi kuimarika hasa kwa kipindi hiki kinapojiandaa na Uchaguzi mkuu wa ndani unaotarajiwa kufanyika mwakani, 2022
Maandalizi yamekamilikaHali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza.
Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na ibada huwa Virusi vya Covid-19 vinakaa nje kwanza hadi wamalize ibada.
Waoga sana sana
Good, saafi
Eti huyu nae ni think tank wa chadomo,bure kabisa hata mtoto wangu wa chekechea anakushinda kuandika sentensi ya kiingereza yenye maana.You have" LACK OF POLITICAL CONSCIOUSNESS "🤣🤣🤣 Mijitu mingine MIJINGA SANAA🙄🙄🤨🤨🤨😃😃
POPOMA KATIKA UBORA WAKO,WATU KAMA NINYI KAMA MLIENDA SHULE BASI WAZAZI WALIPOTEZA FEDHA BURE, 🤣🤣🤣Eti huyu nae ni think tank wa chadomo,bure kabisa hata mtoto wangu wa chekechea anakushinda kuandika sentensi ya kiingereza yenye maana.
You have lack of political consciousness ndio nini sasa umeandika hapa,hili tuu linaonesha kichwani hamna kitu .😄😁😃😆😂
Mtaishia hivi 👇👇
View attachment 1861744
Imekushinda wewe fala umejaza ma.viIndirect Chadema IMESHINDA mjinga mjinga hawezi juwa hii kitu.....
Hata aibu ,shule gani ulienda hata sentensi ndogo tuu hiyo inakushinda? Hebu tuoneshe jinsi wazazi wako wanajivunia ujinga wako,wewe ni kilaza tuuPOPOMA KATIKA UBORA WAKO,WATU KAMA NINYI KAMA MLIENDA SHULE BASI WAZAZI WALIPOTEZA FEDHA BURE, 🤣🤣🤣
Bora wangeamua Kufuga NGURUWE wangenufaika!😶😶🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣 KUBWA JINGA BWANA...!!🤣🤣🤣
I can see absolutely infreority complex from you stupid guy.Huna
Hata aibu ,shule gani ulienda hata sentensi ndogo tuu hiyo inakushinda? Hebu tuoneshe jinsi wazazi wako wanajivunia ujinga wako,wewe ni kilaza tuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza.
Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na ibada huwa Virusi vya Covid-19 vinakaa nje kwanza hadi wamalize ibada.
Waoga sana sana