Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Naam, ndiye...Huyu mkuu wa Mkoa aliekuja kufungua kongamano la maelfu ya wafuasi wa Mwamposa hapo uwanja wa furahisha au ni mwingine? Kama ni yeye awajibishwe kwa kuweka maisha yetu rehani kwa kuruhusu na kushiriki kongamano la Mwamposa huku akijua Bugando mitungi ya gas haitoshi na Covid 19 bado ni tishio.
Lakini leo anathubutu kupiga marufuku kongamano la Katiba, mpuuzi waahed!
Eti mapepo yataondoka, vipofu wataona na vilema watatembea...!