Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

Ni kuanza kutengeneza mabomu madogo madogo ya kurushwa kwa mkono, ccm wakifanya mkutano wakutane na vitu vizito. Watakapoona hata wao wako hatarini watatii takwa la wakati. Kubembelezana wakati wengine tunaumizwa hakuvumiliki.
Maza karibu sn nchi
 
Ni kuanza kutengeneza mabomu madogo madogo ya kurushwa kwa mkono, ccm wakifanya mkutano wakutane na vitu vizito. Watakapoona hata wao wako hatarini watatii takwa la wakati. Kubembelezana wakati wengine tunaumizwa hawakuvumiliki.
Bwana tindo salaam, comedown!! Amani ni Mama wa Maendeleo yetu, tukae mezani na tutafute muafaka.
 
Hoja ya Mkuu wa mkoa ni kwa sababu ya corona! Kitu cha kustaajabisha ni kuwa ameruhusu tamasha la muziki la Mkongoman Fally Pupa kuendelea kufanyika.

Hivi hapa ametumia nini kufikiri?
Ni mpuuzi kama mpuuzi mwingine tu! Eti ni Engineer? Hizi elimu za bongo zinawasaidia kuvaa nguo tu
 
Bwana tindo salaam, comedown!! Amani ni Mama wa Maendeleo yetu, tukae mezani na tutafute muafaka.

Hakuna mwenye tatizo na majadiliano, na ndio maana cdm wanakutana mchana kweupe na sio msituni. Lakini wanalazimisha watafute namna nyingine ambayo haitakuwa ya salama kwao, au hao ccm wanaotegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Huko kwenye nchi amani zilikopotea, mwenendo wa uonevu dhidi ya kundi fulani ulikuwa huuhuu.
 
Chadema Wanataka watu wakusanyike ili wajadili katiba mpya lakini hapohapo hawataki watu wakusanyike mana kuna Corona, chadema wanatakiwa kupigwa na kitu kizito kichwani ku-reset akili
 
Mbowe kama anataka mikusanyiko aanzie kwao huko Kilimanjaro kwanza,tuone kama atapata watu...

Kuna wimbi la tatu la Covid 19,kaka yake kafarik sasa anataka nani afe Ili azid kuamin kuwa huu ugonjwa haujitaji masihara
Wacha kiherehere utaolewa kabla hata hujavunja ungo
 
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!...
Itakuja kutokea mechi ya mpira hapo CCM KIRUMBA MWANZA, tutakuja kuona huyo RC kama atalikumbuka katazo lake la kuepuka Covid-19, au kama atasema mkusanyiko wa mpira ni muhimu kuliko wa kongamano la Katiba mpya.
 
Chadema Wanataka watu wakusanyike ili wajadili katiba mpya lakini hapohapo hawataki watu wakusanyike mana kuna Corona, chadema wanatakiwa kupigwa na kitu kizito kichwani ku-reset akili
Mikusanyiko inazuiwa pale CHADEMA wanapotaka kufanya mikutano tu ila ya CCM haina shida?
Miaka mitano hawakupewa hiyo nafasi ya kubwabwaja ,leo mama kawachia kidogo tu ,wanajamba hadi mbele ya watoto
 
Chadema mnaonekana mliwakandia sana kanda ya ziwa kipindi cha mwendazake kwa kuwaona kuwa wabaguzi,sasa mnatafuta nini kwa watu mliowadharau kwa kipindi chote cha Magu?

Kwa nn harakati zenu hizi zisianzie kwa Mbowe huko Hai?

Ama mnataka tu watoto wa kisukuma waumizwe halafu wa kwenu wawe kwenye viyoyozi?

Hakika Jiwe aliwanyoosha
 
Back
Top Bottom