Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hakuna cha kongamano wala upuuzi mwingine wowote.Hiyo ni marufukuHali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"!
Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza.
Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na ibada huwa Virusi vya Covid-19 vinakaa nje kwanza hadi wamalize ibada.
Waoga sana sana
Covid guidelines zinatolewa na wizara siyo mkuu wa mkoa.#Breakingnews
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima mkoani humo katika jitihada za kudhibiti Ugonjwa wa Covid 19."tutaruhusu misiba tu na ibada". "Hakuna kusanyiko lolote bila kuwa na kibali Mwanza" https://t.co/CkxQGvPd9K
Ona huyu massabaurisafiiiiiiiiiiiiiiiiii erythrocyte njoo huku unaitwaaa
Hizo Virus vinakaa kando kwanza....shenzyShughuli za Mwenge je?
Umeiweka kitaalam sana sana! Wapuuzi hawataelewa watajiona wameshinda ila itakuja ku-backfire vibaya saanaHii delay tactic wala haisadii, tena inamharibia rais Samia maana wananchi watatafsiri kuwa anatumia Corona kama kisingizio cha kisiasa tu!
Kwa hiyo measures zoote atakazotangaza dhidi ya Korona raia wataona ni siasa!
Mkuu wa mkoa anaweza kujiona ana akili lakini kumbe anakwaza mapambano dhidi ya Corona kwa kiwango kikubwa sana, kwa sababu agizo lake lina motive ya siasa ndani yake na si kwa dhati ya kupambana na Korona
Haya madudu ambayo wateule wa rais wanafanya unfortunately lawama zinarudi kwa Samia, kwa sababu tunahisi amebariki dhuluma zao!
Hio Virus havihusikii vinaogopa Simba na Yanga. Huyu RC akili zake hazina akiliKwahiyo mechi ya Yanga vs Simba haitakuwepo?
Wewe ni mburula tuHakuna cha kongamano wala upuuzi mwingine wowote.Hiyo ni marufuku
Amesema mikusanyiko isiyo ya lazima, katiba ni ya lazima#Breakingnews
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima mkoani humo katika jitihada za kudhibiti Ugonjwa wa Covid 19."tutaruhusu misiba tu na ibada". "Hakuna kusanyiko lolote bila kuwa na kibali Mwanza" https://t.co/CkxQGvPd9K
Nimependa hii observation yakoAmesema mikusanyiko isiyo ya lazima, katiba ni ya lazima
Nakuruhusu uitumie kuwatia mori makamanda...fungua hata uziNimependa hii observation yako