Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,617
Africans are serious but not straightMpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi.
Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona timu zao za ndani zikifanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Africa. Hapa mpira wa Africa ndio unaanza kutokuwa serious.
Africa tunawekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja usishangae sana Azam Ina uwanja na Ihefu ilikuwa na uwanja lakini Simba na Yanga combined hazina uwanja ππ
Turudi huko duniani, kule marekani hakuna hata timu ya Africa iliyoweza narudia tena "Iliyoweza" kutinga kwenye makundi ya michuano hiyo namaanisha hakuna timu hata moja. Unajiuliza
- Al Ahly inakosa nini?
- Masandawana (Mamelod) inakosa nini?
- Wydad Inakosa kipi ambacho Botafogo wanacho?
Tunarudi pale pale huku kwetu tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja.
Hivi unajiuliza..
1. Kwanini goli la Aziz dhidi ya Mamelod Sondowns lilikataliwa?
2. Kulikuwa na ulazima gani mechi ya Bernakane na Orlando Pirates mwaka juzi kupelekwa Nigeria kwa kisingizio cha uwanja wakati South Africa Ina miundo bora kabisa ya viwanja vya mpira?
3. Kulikuwa na ulazima gani wa kupeka mechi ya Simba dhidi Berkane uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kisingizio cha hali ya hewa na wakati wataalamu walisha idhibitishia CAF kwamba siku hiyo hali ya hewa itakuwa shwari?
Ndio maana hata kocha wa Simba Fadlu Davis alisema 80% ya mambo yaliyofanya timu yake kushindwa kubeba taji lolote msimu huu kumesababishwa zaidi na mambo yalikuwa yanaendelea nje ya uwanja.
Mwisho wa siku ukiwa na akili timamu uangundua mpira wa Africa ni kama upo kwa ajili ya maslahi ya watu fulani. Hali inayopelekea kutopata timu za kweli zinazopaswa kushindana kwenye ngazi yeyote. Hali inayopelekea tumedhalilishwa huko duniani.
Bila vijapi halisi pesa ipo kutimiza wajibu tu.
Una pointi lakini hapa umepuyanga. Simba ni mbovu na haina wachezaji bora. Hata huyo Fadlu mwenyewe kakiri hivyo. Mifano mingine toa tu lakini kuitumia Simba kukosa kombe hata moja kama mfano wa hoja yako siyo sahihi.Ndio maana hata kocha wa Simba Fadlu Davis alisema 80% ya mambo yaliyofanya timu yake kushindwa kubeba taji lolote msimu huu kumesababishwa zaidi na mambo yalikuwa yanaendelea nje ya uwanja.
We fikiria mpaka Mangungu analalamika. Sembuse we shabiki maandazi?ndipo sasa linakuja swala la kujiuliza wewe kama shabiki unanguvu gani kwenye timu (unajingundua wewe ni mpiga kelele tuu) huna uwezo wa kushawishi/kufanya maamuzi.
sasa kwanini furaha yako ipangwe na wanaume wengine, unajiuliza kuna umuhimu wa kujiita/kuwa shabiki kindakindaki wa soka
Mpira wa Kiafrika ni mpira wa *******, hakuna mpira hapa Afrika.Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi.
Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona timu zao za ndani zikifanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Africa. Hapa mpira wa Africa ndio unaanza kutokuwa serious.
Africa tunawekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja usishangae sana Azam Ina uwanja na Ihefu ilikuwa na uwanja lakini Simba na Yanga combined hazina uwanja ππ
Turudi huko duniani, kule marekani hakuna hata timu ya Africa iliyoweza narudia tena "Iliyoweza" kutinga kwenye makundi ya michuano hiyo namaanisha hakuna timu hata moja. Unajiuliza
- Al Ahly inakosa nini?
- Masandawana (Mamelod) inakosa nini?
- Wydad Inakosa kipi ambacho Botafogo wanacho?
Tunarudi pale pale huku kwetu tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja.
Hivi unajiuliza..
1. Kwanini goli la Aziz dhidi ya Mamelod Sondowns lilikataliwa?
2. Kulikuwa na ulazima gani mechi ya Bernakane na Orlando Pirates mwaka juzi kupelekwa Nigeria kwa kisingizio cha uwanja wakati South Africa Ina miundo bora kabisa ya viwanja vya mpira?
3. Kulikuwa na ulazima gani wa kupeka mechi ya Simba dhidi Berkane uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kisingizio cha hali ya hewa na wakati wataalamu walisha idhibitishia CAF kwamba siku hiyo hali ya hewa itakuwa shwari?
Ndio maana hata kocha wa Simba Fadlu Davis alisema 80% ya mambo yaliyofanya timu yake kushindwa kubeba taji lolote msimu huu kumesababishwa zaidi na mambo yalikuwa yanaendelea nje ya uwanja.
Mwisho wa siku ukiwa na akili timamu uangundua mpira wa Africa ni kama upo kwa ajili ya maslahi ya watu fulani. Hali inayopelekea kutopata timu za kweli zinazopaswa kushindana kwenye ngazi yeyote. Hali inayopelekea tumedhalilishwa huko duniani.
Bila vijapi halisi pesa ipo kutimiza wajibu tu.
tatizo ni kwamba watu wanabeba walichoambiwa wanaacha wanachokiona boli yetu bado mnoo ukichukulia hii kitu serious inabidi uchunguzwe vizuri
Upo sahihi, wachache watakuelewaMpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi.
Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona timu zao za ndani zikifanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa Africa. Hapa mpira wa Africa ndio unaanza kutokuwa serious.
Africa tunawekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja usishangae sana Azam Ina uwanja na Ihefu ilikuwa na uwanja lakini Simba na Yanga combined hazina uwanja ππ
Turudi huko duniani, kule marekani hakuna hata timu ya Africa iliyoweza narudia tena "Iliyoweza" kutinga kwenye makundi ya michuano hiyo namaanisha hakuna timu hata moja. Unajiuliza
- Al Ahly inakosa nini?
- Masandawana (Mamelod) inakosa nini?
- Wydad Inakosa kipi ambacho Botafogo wanacho?
Tunarudi pale pale huku kwetu tumewekeza zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja.
Hivi unajiuliza..
1. Kwanini goli la Aziz dhidi ya Mamelod Sondowns lilikataliwa?
2. Kulikuwa na ulazima gani mechi ya Bernakane na Orlando Pirates mwaka juzi kupelekwa Nigeria kwa kisingizio cha uwanja wakati South Africa Ina miundo bora kabisa ya viwanja vya mpira?
3. Kulikuwa na ulazima gani wa kupeka mechi ya Simba dhidi Berkane uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kisingizio cha hali ya hewa na wakati wataalamu walisha idhibitishia CAF kwamba siku hiyo hali ya hewa itakuwa shwari?
Ndio maana hata kocha wa Simba Fadlu Davis alisema 80% ya mambo yaliyofanya timu yake kushindwa kubeba taji lolote msimu huu kumesababishwa zaidi na mambo yalikuwa yanaendelea nje ya uwanja.
Mwisho wa siku ukiwa na akili timamu uangundua mpira wa Africa ni kama upo kwa ajili ya maslahi ya watu fulani. Hali inayopelekea kutopata timu za kweli zinazopaswa kushindana kwenye ngazi yeyote. Hali inayopelekea tumedhalilishwa huko duniani.
Bila vijapi halisi pesa ipo kutimiza wajibu tu.
Ndio hivyo mkuuUpo sahihi, wachache watakuelewa
Hatari sanaMpira wa Kiafrika ni mpira wa *******, hakuna mpira hapa Afrika.
Sijaongea Mimi kaongea kocha.Una pointi lakini hapa umepuyanga. Simba ni mbovu na haina wachezaji bora. Hata huyo Fadlu mwenyewe kakiri hivyo. Mifano mingine toa tu lakini kuitumia Simba kukosa kombe hata moja kama mfano wa hoja yako siyo sahihi.
View attachment 3386331
ProbablyAfricans are serious but not straight
Ila kweliHuoni wachezaji wazuri wa mpira wanakimbilia ulaya?
Ndio maana virabu vinavyotamba ni hivyo hivyo unavyovijua duniani. Cha kishangaza ni kipi?
ππππndipo sasa linakuja swala la kujiuliza wewe kama shabiki unanguvu gani kwenye timu (unajingundua wewe ni mpiga kelele tuu) huna uwezo wa kushawishi/kufanya maamuzi.