Figisu zamtoa Cheka ulingoni, apigwa kiwiko agoma kuendelea na pambano

Figisu zamtoa Cheka ulingoni, apigwa kiwiko agoma kuendelea na pambano

ukiangalia vizuri na kulinganisha na mapambano mengine ya kimataifa utaona wazi kuna mchezo umechezwa hapo. kama cheka hajauza mechi sijui. kwa cheka ninayemjua sijaona ngumi ya maana aliyopigwa mpaka akimbie pembeni ya ulingo. hata kiwiko alichopigwa cha kawaida sana.
 
Cheka mbona mzito hivyo.

Cheka yani dah alikuwa anapewa sifa kumbe upiganaji wake ndio huo

Huyo mhindi na Cheka wote miyeyusho lakini Cheka ndio kazidi

Tanzania sijui sports gani tupo vizuri kila sehemu aibu..Bongo boxer bado ase kama Cheka ndio anapigana hvyo aah
Yule machali alikuwa vizuri sema tatizo lake naye ni mwizi,tz bwanaaa
 
Cheka alichoka kwani alianzakwa speed namuda ulivyokuwa unakwenda alikuwa anachoka na kuanza kukumbatia hali ilyo mfanyaanyukwe kwa kuwa mpinzani wake alikuwa mtulivu wakati wote. Sasa aachane na masumbwi akaendeshe bar
 
cheza kauza game, hakuna alichopigwa hapo. Kuna mzungu alienda kwenye kona ya cheka alikuwa ana communicate nn? Na mbona hata huyo muhindi ni kama alikuwa anasisitiza pambano limaliwe wakati yy ndo kacheza rafu. Kuna kamchezo kachafu kamechezwa hapo.
 
Tanzania sijui sports gani tupo vizuri kila sehemu aibu..Bongo boxer bado ase kama Cheka ndio anapigana hvyo aah

Big Brother Africa ndo fani yetu sie.. Mengine tunavamia, sio ya kwetu..
 
Cheka anataka kumuiga Mohamed Ali sema naona mazoezi yake hayafikii kiwango hicho. Hana ngumi nzito halafu anarusha tu aimlessly...
 
Hahahaaa mwarabu anapigwa tuu.. Cheka alikosea timing
😀😛😛😛
mmmh !! hakuna kitu kinaitwa Timing!! Masumbi na ndondi hamuwezi nyie..!! Nyie zenu ni mbio na kutimka nduki.... (wajua sababu zake??) !!
 
😀😛😛😛
mmmh !! hakuna kitu kinaitwa Timing!! Masumbi na ndondi hamuwezi nyie..!! Nyie zenu ni mbio na kutimka nduki.... (wajua sababu zake??) !!
Mwarabu wa kwanza kwenye ndondi ni prince naseem na muhindi wa kwanza ni Amiri khan. Ndio kelelee zote hizo.sisi tuna MUGABI na AZUMAH NELSON hevyweghts waliotamba.
 
Azumah nelson
120806033933-azumah-nelson-knock-out-horizontal-large-gallery.jpg
 
Francis cheka usikate tamaaa,never underestimate anyone.
 
Cheka aliuza mech
kuuza mechi ni rushwa, ashtakiwe kwa kosa la kupokea rushwa,

pia ashtakiwe kwa kuidhalilisha bendera ya nchi,

pia asiruhusiwe tena kubeba bendera ya nchi!
 
Back
Top Bottom