Figisu zamtoa Cheka ulingoni, apigwa kiwiko agoma kuendelea na pambano

Figisu zamtoa Cheka ulingoni, apigwa kiwiko agoma kuendelea na pambano

Cheka anataka kumuiga Mohamed Ali sema naona mazoezi yake hayafikii kiwango hicho. Hana ngumi nzito halafu anarusha tu aimlessly...
unalinganisha usingizi na kifo.mohamed Ali yule hana wakufanana nae
 
juzi tena kalikimbia li dulla mbabe hahaha.lingemuua asee
 
Back
Top Bottom