karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 421
Muziki gani ?wabongo mziki unatutosha huko vengine ni viherehere
Yule machali alikuwa vizuri sema tatizo lake naye ni mwizi,tz bwanaaaCheka mbona mzito hivyo.
Cheka yani dah alikuwa anapewa sifa kumbe upiganaji wake ndio huo
Huyo mhindi na Cheka wote miyeyusho lakini Cheka ndio kazidi
Tanzania sijui sports gani tupo vizuri kila sehemu aibu..Bongo boxer bado ase kama Cheka ndio anapigana hvyo aah
kean mzilki upo upi??Muziki gani ?
cheza kauza game, hakuna alichopigwa hapo. Kuna mzungu alienda kwenye kona ya cheka alikuwa ana communicate nn? Na mbona hata huyo muhindi ni kama alikuwa anasisitiza pambano limaliwe wakati yy ndo kacheza rafu. Kuna kamchezo kachafu kamechezwa hapo.Cheka alichoka kwani alianzakwa speed namuda ulivyokuwa unakwenda alikuwa anachoka na kuanza kukumbatia hali ilyo mfanyaanyukwe kwa kuwa mpinzani wake alikuwa mtulivu wakati wote. Sasa aachane na masumbwi akaendeshe bar
Tanzania sijui sports gani tupo vizuri kila sehemu aibu..Bongo boxer bado ase kama Cheka ndio anapigana hvyo aah
ππππHahahaaa mwarabu anapigwa tuu.. Cheka alikosea timing
Sijui niambie... Au aliuza pambanoππππ
mmmh !! hakuna kitu kinaitwa Timing!! Masumbi na ndondi hamuwezi nyie..!! Nyie zenu ni mbio na kutimka nduki.... (wajua sababu zake??) !!
Mwarabu wa kwanza kwenye ndondi ni prince naseem na muhindi wa kwanza ni Amiri khan. Ndio kelelee zote hizo.sisi tuna MUGABI na AZUMAH NELSON hevyweghts waliotamba.ππππ
mmmh !! hakuna kitu kinaitwa Timing!! Masumbi na ndondi hamuwezi nyie..!! Nyie zenu ni mbio na kutimka nduki.... (wajua sababu zake??) !!
Turudi nyumbani tujifunze upya....Sijui niambie... Au aliuza pambano
Kwa wakifunzi hawa hawa au wapya?Turudi nyumbani tujifunze upya....
kuuza mechi ni rushwa, ashtakiwe kwa kosa la kupokea rushwa,Cheka aliuza mech