Figo kujaa maji..

Figo kujaa maji..

Aggrey86

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
853
Reaction score
155
Habari zenu wakuu! Kuna ndugu wa bosi wangu anaumwa sana sasa kaenda hosptal kucheki dr.kasema kwamba figo zimejaa maji kwa hiyo kuna dawa kapewa kwanza za mwanzoni wakati anaendelea kusubiri utaratibu mwingine.... Sasa mimi nina swali hivi figo kujaa maji kunasababishwa na nini? Mana nimesikia sana ini kujaa maji au figo sasa naomba msaada jamani kusudi tujue jinsi gani ya kujilinda pia kwa wengine je kunatokana na kunywa maji mengi au? Msaada wakuu.
 
Mkuu Aggrey86,

Pole kwa kuuguliwa,

Tatizo la figo kujaa maji (Hydronephrosis) ..kitaalamu, haimaanishi tu figo kujaa maji bali pia kupanuka/kutanuka kwa njia ya taka mwili(mkojo) yaani katika figo yenyewe, kutoka katika figo na mirija inayotoa taka mwili hii kupeleka katika kibofu cha mkojo.

Binadamu wa kawaida ana figo mbili(upande wa kulia na wa kushoto katika eneo la tumbo). Hizi husaidia katika kaxi nyingi mwilini, Kutoa taka mwili, Kurutubisha/kutengeneza vichochezi(hormone), Kusaidia katika utengenezwaji wa damu, kuchuja sumu n.k.

Matatizo ya figo:
Kuna aina nyingi ya matatizo ya figo mfano maumbile, uwepo wake katika sehemu isiyo ya kawaida, Infection, Kujaa maji n.k.

Kujaa maji kwa figo:
Hapa hutokana na sababu kuu zifuatazo;

1 . Njia ya taka mwili(Mkojo) kuziba (yaani Obstruction): Ingawa sehemu tatizo hili linaweza kutokea sehemu yeyote katika njia kuu, mara nyingi/kwa asilimia kubwa hutokea katika sehemu figo inapoungana na mija(ureter) na sehemu nyingine ni pale mrija unapoungana na kibofu cha mkojo.Visababishi;
-Mawe(Kidney stones)
-Kuvia kwa bonge/vibonge vya damu(Blood clot)
-Saratani n.k

2. Taka mwili(mkojo) kurudi ilipotoka(Reflux): Hii hutokana na kuwepo kwa mgandamizo wowote katika mirija(Ureters) inayoleta mkojo katika kibofu.Mgandamizo huu husababisha kuwepo kwa msukumo(pressure) unaosababisha mkojo kurudi katika figo na kutoelekea katika kibofu. Uelekeo huu(Backflow) husababisha taratibu kutokea kwa tatizo.Visababishi;
-Saratani
-Mimba(Ujauzito)..hasa ujauzito mkubwa, mf. Mapacha, mtoto mkubwa n.k..lakini pia wakati wa ujauzito mabadiliko ya vichochezi(hormone) hufanya kushindwa ku-contract kwa usawa, kwa mirija.

Njia za kujikinga:
Asilimia kubwa ya watu wenye matatizo ya figo kujaa maji huwa na tatizo la kuwepo kwa mawe/vijiwe(Kidney stones). Haya "mawe" yapo ya aina mbalimbali na kwa namna yake(type) huweza kusababisha matatizo kama nilivyokwisha kusema. Mawe haya hutokana na vyakula tunavyovitumia.Vyakula vya protini nyingi, vyenye sukari na chumvi nyingi/kwa wingi. Vyakula vyenye madini mengi ya Sodium, Calcium, Phosphate n.k. Hapa ninamaanisha Samaki, Nyama, Chocolates, baadhi ya mboga za majani, dagaa, smoked foods, n.k endapo vitatumiwa bila usawa(Unbalanced diet).

Dalili:
Maumivu makali ya tumbo, kichefu chefu, kutapika, kutopata haja ndogo(mkojo), kukojoa damu, n.k

Matibabu:
Hutegemea umri, aina ya tatizo(yaani chanzo) hasa kutokana na vipimo.

Njia nzuri ya kujikinga ni;
-Kuboresha mlo wako.
-Kutumia maji mengi/maji kwa wingi.
 
Last edited by a moderator:

Asante sana kwa maelezo mazuri. Sista wangu alikuwa na hilo tatizo na yote uliyoyaeleza yametokea.

Kimatibabu alikuwa anapewa dawa zilizokuwa zinasaidia kupata haja ndogo kwa winhi.
 
Pole kwa matatizo ya sister wako, namtakia afya njema mkuu.
 
-Kutumia maji mengi/maji kwa wingi
.

Nashukuru kwa sasa anaendelea vizuri
Mkuu Hud pole sana kwa kuumwa kwa boss wako Na mimi ninachangia mawazo kwenye Thread hii mwambie awe anakunywa sana maji ya Uvuguvgu yatamsaidia kumtibu Boss wako maradhi yake ya Mafigo kujaa maji kama alivyosema hapo juu

mkuu.@hippocratessocrates awe anakunywa hayo maji ya Uvugu kila siku asubuhi kabla ya kunawa uso anywe maji ya Uvuguvugu Glasi mbili na bada kwisha kunawa uso anywe tena maji ya uvuguvugu glasi

moja na akae kama dakika 45 ndio anaweza kunywa chai ya Asubuhi. Na wakati wa mchana kabla ya kula chakula anywe tena maji ya Uvuguvugu glasi moja kisha akae kama dakika 45 ale chakula na wakati wa usiku anywe tena maji ya uvuguvugu glasi moja kisha akae kama dakika 45

kisha anaweza kula chakula cha usiku, anywe tena hayo maji ya uvuguvgu glasi moja wakati wakati wa kulala na adumishe hivyo hivyo kila siku basi atapona haraka inshallah mpe pole zangu Boss wako.
 
Mkuu hippocratessocrates..Nashukuru sana yani nasema Asante sana M/Mungu mwingi wa rehema azidi kukubariki sana usichoke kuendelea kutuelimisha tunapokuwa na matatizo mengine asante sana mkuu na M/Mungu akupe nguvu zaidi nakuombea sana mkuu..
 
Asante sana mkuu pole zako zimefika Mungu akubariki sana
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wakuu! Kuna ndugu wa bosi wangu anaumwa sana sasa kaenda hosptal kucheki dr.kasema kwamba figo zimejaa maji kwa hiyo kuna dawa kapewa kwanza za mwanzoni wakati anaendelea kusubiri utaratibu mwingine.... Sasa mimi nina swali hivi figo kujaa maji kunasababishwa na nini? Mana nimesikia sana ini kujaa maji au figo sasa naomba msaada jamani kusudi tujue jinsi gani ya kujilinda pia kwa wengine je kunatokana na kunywa maji mengi au? Msaada wakuu.
 
Naomba usaidizi.kakangu wakike ana ugua figo kujaa maji,tafadhali ntamsaidia vipi wadau?
 
Back
Top Bottom