Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Figo zikifeli presha inapanda Sana. Lakini pia presha inaweza kusababisha Figo kufeli. Hapo kilichosababisha presha kupanda Ni kufeli kwa figoHabar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.
Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
Onhoo😔Hajawahi kuwa mnywa pombe Wala kuonja ladha ya pombe ya aina yoyote
Anzeni kuwa jirani na mgonjwa .... muda umeanza kwenda kwa kasi anahitajika furaha tu sasa hivi ......Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.
Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
🤣we jamaa kila maradhi unajinasibu kuwa unatibu!!Mkuu pole sana nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia uapte kupona amradhi yako uguwa pole
Hawawezi kukusikia.Mimi nilipata changamoto ya Figo Kwa mda mfupi chanzo ni vidonge vya chanjo ya malaria na malaria yenyewe.
kwahiyo tuulize alikuwa anakula sana dagaaKwanini figo zikifeli watu wanakimbilia kuuliza pombe? Wakati kitakwimu pombe ni asilimia chache sana kwenye wagonjwa wengi wa figo!
Hapa kuna mauongo mengi sana mpaka yanatisha.Pole sana mkuu
Sijui hal ya mgonjwa kwa sasa ila ninavyofaham mm
Presha hiuua ogans nying kwa mfumo wa cheni
Yan presha inaua figo maana maana preaha ikiwa juu ni kuwa mwili hauachii maji na sumu zilizopo mwili [chumvi inang'ang'ania maji mwilini] na ndo maana dawa ya presha mtu akitumia hukojua sana ili mwili upate unafuu.
Presha ikiwa juu inaua ini maana sumu zisipotoka baada ya kuchujwa huathiri ini pia
Anaweza akafanyiwa usafishwaji wa damu na akawa mzima kwa asilimia 100
Inategemea tu figo zimeathirika kiasi gani
Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.
Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
Sawa mkuu.Hapa kuna mauongo mengi sana mpaka yanatisha.
HBP haiwezi kusababisha figo kufeli abadani.
Kinachosababisha figo kufeli ni MADAWA YA BP ambayo wagonjwa wa BP wanameza kila siku.
I see how this is twisted. YAANI NI MAUONGO YA HALI YA JUU MNO.
You are only parroting the lies, haujui hata unachokisema.
Hapa jitahidi kuangalia post mortem kadhaa kunakitu utajifunza hasa hivi vifo vya ghaflaHili suala la hivi karibuni kuwa na utitiri wa case za Figo kufeli linahitaji tafiti mpya katika taifa letu.
Wataalamu wa afya wasijikite tu kwenye majibu ama sababu ziliwazi za miaka mingi. Wachunguze uwezekano wa visababishi vipya.
Mungu amsaidie apone IJN!
Wachache watakuelewaHili suala la hivi karibuni kuwa na utitiri wa case za Figo kufeli linahitaji tafiti mpya katika taifa letu.
Wataalamu wa afya wasijikite tu kwenye majibu ama sababu ziliwazi za miaka mingi. Wachunguze uwezekano wa visababishi vipya.