D
DeletedMember281674
Guest
Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook.
Tanzania yangu nakupenda
Tanzania yangu nakupenda
Fear of the unknown...!Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook.
Tanzania yangu nakupenda
Haisaidi kitu wafunike na jua nchi nzima iwe gizaNaona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook.
Tanzania yangu nakupenda
Kwani huko TZee hiyo JF imeshafunguliwa?Facebook haitofungiwa,kwasababu hakuna mambo kama ya humu jf,,mtaani hakuna story za maandamano,fb pia hakuna,
Ukiingia jf ndiyo Kuna watu wanahamasisha maandamano
Sielewi kama ilishafunguliwa.Kwani huko TZee hiyo JF imeshafunguliwa?
Mie kwangu tiktok naipata kama kawaidaNaona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook.
Tanzania yangu nakupenda