D
DeletedMember281674
Guest
- Thread starter
- #21
Nimetumia VPN location
Nimetumia VPN location ni Canada naona unapatikana sasa
Kwa teki teki kama hizi usisahau ku save hii comment yangu, ku like na ku share.
Unachotakiwa kufanya katika simu yako.....Lets do this
Ukisema tiktok haipatikani Tanzania hata ukiweka VPN, unanichanganya.
Vpn ina bypass location na kukufanya usiwe tofauti na mtumiaji wa tiktok wa taifa la nje.
Mimi sio mtumiaji wa Tiktok ila jaribu kwanza kuangalia kama hiyo VPN uliyo connect haija connect nchi nyingine ambayo tiktok imepigwa ban.
Mfano mwaka jana nilisikia Marekani wameifungia Tiktok, sasa kama VPN yako umei connect kwa nchi ya Marekani maana yake tegemea kupata changamoto hiyo.
Vinginevyo labda wafungie access ya VPN ambayo wanaona imekuwa popular ina watumiaji wengi wa hapa ndani.
Maana yake hata ku connect haitawezekana.
Nimetumia VPN location ni Canada naona unapatikana sasa