Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

kiwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
1,341
Reaction score
2,214
Habarini wakuu.
Fiji ni nchi iliyopo katika bahari ya Pacific karibu sana na nchi ya Australia.
Jamii ya wenyeji wa Fiji kimuonekano wanafanana na waafrika ila kuna tofauti kidogo kutokana na kuzaliana na jamii zingine za Asia na Pacific.
Masimuliz ya kale kutoka kwa mababu wa hapo Fiji wanadai wao walitoka Tanganyika miaka mingi sana iliyopita kwa boti kuelekea pacific kupitia Madagascar. Hivo wanadai wametokea hapa Afrika mashariki nchini kwetu Tanzania. Ikumbukwe hapa nchini pia kuna mto unaitwa Rufiji. Hapo chini nmeweka maelezo yao wanayotoa kuhusu historia yao na picha zao.
fiji-location-map.jpg
20180312_141232.jpg
20180312_141000.jpg
20180312_141717.jpg
20180312_141511.jpg
20180312_141603.jpg
20180312_141343.jpg
20180312_141541.jpg
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
 
Back
Top Bottom