Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Walienda kwa BOTI miaka mingi iliyopita????
Hivi boti zimegunduliwa mwaka gani?
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Kuna wenye nywele laini kutakana na mchanganyiko wa damu ila wapo wengi tu wenye maafro.
 
Wadifji wana ushirikina wa kutisha na tamaduni za ajabu mno
 
Mwaka 2008 "kama sijakosea" kulifanyika mkutano wa Diaspora pale NKRUMAH HALL UDSM.
Na waliohudhuria ni wale Blacks wanaoish abroad like Jamaica,Fiji,America na kwingineko.
Kuna academicians wa Historia walisema kuwa watu wa Fiji wana nasaba na watu wa Tanzania hasa RUFIJI.
Huyu alotoa hiyo fact alifanya utafiti.
Leo nakutana na kilekile ambacho nilikisikia wakati ule
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Sasa huko si wame interact na jamii nyingine?Hujawah ona Shombeshombe?
 
nadhani ni sawa kwa visiwa vingi vilivyopo bahari hiyo kama Papua New Guinea nk
 
Back
Top Bottom