Ukifika wasalimieKuna madem wazur hvo naenda...
Naona waingereza waliwapeleka ndugu zetu huko kuwalimisha
Na wahindi wakaenda pia ndio maana hata rangi zimebadilika
Wakarimu sana kama sisi
Wenzako hao mababu walenda na boto za kienyeji,na wewe chonga yako uende,gharama zitakuwa kuchonga huo mtumbwi na chakula chakula njia basi.daaahh huko pananifaa kabisaa..gharama za kufika huko zikoje aiseeee
Kama mila zipi mkuu?huwa naona kinazungumzwa sana na hasa NatGeo channel, ila wana mila za ajabu aisee, manake wao na watu a new papua guinea na samoa naona kama sawa tu
Hahahahha sio woteAcha kufananisha ukarimu wa watu wa Fiji na vitu vya ajabu.