Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Nilikutana na Mfiji mmoja 2012 Bali Indonesia, tulikuwa marafiki ghafla na tulipata good times kumbe alikuwa ndugu yangu!
 
Mwaka fulani nilimsikia bibi mmoja wa Diego Garcia akihojiwa na BBC juu ya kesi yao ya kuhusu kuhamishwa maeneo yao kupisha kambi za jeshi la ********** kisiwani humo.Alitumia neno "Ndabughaa" la Kizanaki lenye maana "Nasema!" Nikahisi huenda alitokea huku Tanganyika vizazi na vizazi.
Mmmmm! kwahiyo Kizanaki kimefanana na Kitusi....,Kitusi neno Ndabughaa maana yake naongea,Au baba wa taifa alikuwa nae wazaze wake wanatokea Utusini,,,??!
 
Mmmmm! kwahiyo Kizanaki kimefanana na Kitusi....,Kitusi neno Ndabughaa maana yake naongea,Au baba wa taifa alikuwa nae wazaze wake wanatokea Utusini,,,??!
Ndabugha ni kibantu na KINYARWANDA ni Kibantu sio Kitusi. Hakuna lugha ya Kitusi.
 
Huenda hapo ilikuwa si rahisi kutoroka hivyo waliwekwa kama station fulani enzi za utumwa.
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Umesoma maelezo vizuri
 
Habarini wakuu.
Fiji ni nchi iliyopo katika bahari ya Pacific karibu sana na nchi ya Australia.
Jamii ya wenyeji wa Fiji kimuonekano wanafanana na waafrika ila kuna tofauti kidogo kutokana na kuzaliana na jamii zingine za Asia na Pacific.
Masimuliz ya kale kutoka kwa mababu wa hapo Fiji wanadai wao walitoka Tanganyika miaka mingi sana iliyopita kwa boti kuelekea pacific kupitia Madagascar. Hivo wanadai wametokea hapa Afrika mashariki nchini kwetu Tanzania. Ikumbukwe hapa nchini pia kuna mto unaitwa Rufiji. Hapo chini nmeweka maelezo yao wanayotoa kuhusu historia yao na picha zao.View attachment 712526View attachment 712529View attachment 712531View attachment 712532View attachment 712533View attachment 712534View attachment 712537View attachment 712538
Watakua na akili za hovyo kama wabongo kweli?
 
Naona waingereza waliwapeleka ndugu zetu huko kuwalimisha
Na wahindi wakaenda pia ndio maana hata rangi zimebadilika
Wakarimu sana kama sisi
thubutu !hao jamaa wako huko kitambo halafu walikuwa wana practise canibalism mgeni akiingia analiwa nyama wanaita long pigs.
wakipigana vitaanayeshindwa kitoweo,wife akizngua mshikaki tu.
hakuna msosi home unamtafutia sababu jirani yako mnyonge umnyuke then umfanye ndafu! mzungu gani atathubutu kwenda?
 
Back
Top Bottom