Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Nilikutana na Mfiji mmoja 2012 Bali Indonesia, tulikuwa marafiki ghafla na tulipata good times kumbe alikuwa ndugu yangu!
 
Mmmmm! kwahiyo Kizanaki kimefanana na Kitusi....,Kitusi neno Ndabughaa maana yake naongea,Au baba wa taifa alikuwa nae wazaze wake wanatokea Utusini,,,??!
 
Mmmmm! kwahiyo Kizanaki kimefanana na Kitusi....,Kitusi neno Ndabughaa maana yake naongea,Au baba wa taifa alikuwa nae wazaze wake wanatokea Utusini,,,??!
Ndabugha ni kibantu na KINYARWANDA ni Kibantu sio Kitusi. Hakuna lugha ya Kitusi.
 
Huenda hapo ilikuwa si rahisi kutoroka hivyo waliwekwa kama station fulani enzi za utumwa.
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Umesoma maelezo vizuri
 
Watakua na akili za hovyo kama wabongo kweli?
 
Naona waingereza waliwapeleka ndugu zetu huko kuwalimisha
Na wahindi wakaenda pia ndio maana hata rangi zimebadilika
Wakarimu sana kama sisi
thubutu !hao jamaa wako huko kitambo halafu walikuwa wana practise canibalism mgeni akiingia analiwa nyama wanaita long pigs.
wakipigana vitaanayeshindwa kitoweo,wife akizngua mshikaki tu.
hakuna msosi home unamtafutia sababu jirani yako mnyonge umnyuke then umfanye ndafu! mzungu gani atathubutu kwenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…