Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Wenzako hao mababu walenda na boto za kienyeji,na wewe chonga yako uende,gharama zitakuwa kuchonga huo mtumbwi na chakula chakula njia basi.
wakati wanafanya hivyo technology ilikuwa inawaruhusu ...so mimi siwezi kufnya hvyo kutokana na uwepo wa ukubwa wa technology iliyopo sasa ..ambayo nikiitumia kusafiri nitajikuta baada ya Massa kadhaa Nipo huko
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Mleta mada amesema walichanyika na wahindi kwa muda mrefu

Wa Philippine wamechanyika na wa Hispania

Goa ni mchanganyiko wa wahindi na wareno
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.

Mkakati maalum ulifanywa na Wazungu wa kuwachukua. wahindi kuwapeleka kwenye visiwa vya Fiji, Samoa nk ili wakachanganye damu na hao weusi, lengo likiwa ni kumaliza kizazi cha hao weusi,
 
wakati wanafanya hivyo technology ilikuwa inawaruhusu ...so mimi siwezi kufnya hvyo kutokana na uwepo wa ukubwa wa technology iliyopo sasa ..ambayo nikiitumia kusafiri nitajikuta baada ya Massa kadhaa Nipo huko
Poa tu mi naondoka tarehe25 april
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Wahindi wamehamia huko, siunajua makanjibai Wazee wa furusa

Ila population kubwa Ni blacks 56%
Wahindi 39%
Iliyobak Ni wazungu
 
Kumbe ndo maana mtanzania anaingia fiji bila viza eeh.halafu huyo mdada aliyevaa shati jekundu anafanana na mke wa rais mstaafu mmoja ivi.
mkuu wametoa visa huko !!??

air ticket ni kiasi gani!!?""(sema hamkawii kusema niende Google hahaa)
 
Kwa andiko hili waha tutaendelea kuwa masuperstar. ZUSUMBA=UNAVYOVIZIDI. Pure kiha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…