ONJO
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 216
- 265
Habari zenu!
Kama isemavyo hapo juu...
Enyi vijana na wazee ni nani aliyewaroga?
Ingefaa wanyama waendelee kuishi hapa Duniani na nyinyi kupuuzwa kabisa!.
Hata sasa hamjafikili bado?Mahusiano yenu na wake/ume zenu yako sawa?
Kwakuwa mnazo akili kuliko wanyama nitawafikirisha kidogo lakini ingenifaa kuwafundisha wanyama kuliko nyinyi maana harufu ya uozo imenifikia.
Lets go together..
Nani kasema hakuna wanawake bikra?.Sasa kwa kuwa mmetembea na wanawake wengi/wanaume wengi sasa mnaona dunia ni kama pango la wahalifu tena mmejipa heshima ya kuwa MAHAKIMU,mkipotosha kuwa siku izi hakuna bikra,mnaona kama mmeshafanya ngono na dunia nzima,Fikirini tena.
Nani kasema kwenye uchumba lazma mjuane kimwili?
Kila mwenye kula hushiba kwa mda tu,kila mwenye kuonja hutamani kuongeza.Basi kila mtu huhisi njaa na mwenye kutawala akili yake husubiri mpaka wakati wa kufunga ndoa.
Nani kasema mwanaume ana uwezo wa kuzalisha?.Ni nani awezaye kufanikiwa bila mpango maalum? Basi jueni kwamba kila mtu yupo kwa mpango wa MUUMBA Wala hakutokana na uwezo wa mwanaume kufanya mapenzi,wala uwezo wa mwanamke kubeba ujauzito,fikirini.
Nani kasema mwanamke anauwezo wa kushika mimba?Hamjui kuwa kwenye tumbo la mama ndimo kuna mikono ya Muumba kuumba kiumbe kipya na kwa baraka zake hutia roho ya uhai kwaajili ya kusudi lake?Fikirini.
Nani kati yenu anapinga ndoa?Je akipinga ndoa ndiyo aruhusu ushoga?Je Hospitali ya milembe haipo?Je naye ana baba na mama?Je yeye alitoka wapi?Fikirini.
Nani kasema kufanya mapenzi kabla ya kuoa ni kupata uzoefu?Najua mko sawa kwa kuwa ninyi ni watumwa wa akili.Haya na mfahamu kwamba Mungu humpa kila ndege mdudu ila hamtupi kwenye kiota,fikirini.
Nani kasema ushoga ni halali?Nikimwona mwanaume anafanya mapenzi na mwanaume mwenzake! sishangai ila kama miezi,mwaka,na miaka akapita bila kuona dalili zozote za ujauzito aisee nitawashangaa sana.Na mwanamke anafanya mapenzi na mwanamke mwenzake basi nitarajie kukuta bikra zao la sivyo nitawashangaa sana,fikirini.
Nani kasema kuchepuka ni kupunguza matatizo ya familia?Kukimbia tatizo ni kutatua tatizo?,fikirini.
Mimi siwahukumu ila mtahukumiwa na mawazo yenu mabaya.
Na ONJO Mpenzi wenu.