Fikiria Dunia ingekuaje kama Dini na Sheria visingekuwepo

Fikiria Dunia ingekuaje kama Dini na Sheria visingekuwepo

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Zipo nadharia tofauti zinazoelezea asili ya jamii (muingiliano) mpaka kufikia dola za hivi sasa na miongoni mwao ni creation theory from holy book na state of nature theory (social contract theory), ambapo kuna wanazuoni kama Thomas Hobbies, Jean Jack.., John Locke na wengineo.

Ambapo kundi la mwanzo walielezea maisha ya awali yalikuwa ni vita, unyang'anyi na udanganyifu na baadaye kukaingiwa mkataba (informal) kupitia njia ya mapigano na atakayeshinda ndiyo kiongozi.

Ndiyo maana mpaka kufikia mwaka 1884-85 tumeshuhudia Berlin Conference iliyoleta makubaliano ya Amani (Sheria) lakini upande wa dini hutumiwa kama kipozeo cha nafsi na kuicontrol kuacha mabaya, ukatili, ubadhifu na rushwa nk.

Je, bila ya hivi vitu unadhani dunia ingekuwa katika hali gani?
 
Ingekuwa ni ubabe tu, wanyonge wangenyang'anywa mali zao. Kusingekuwa na kuheshimiana wakubwa kwa wadogo
 
Kabla ya hizo sheria na Din DUNIA ilikuwepo sehemu salama Zaid kulko sas
 
Back
Top Bottom