Haya yana ukweli mkuu? Kama ni kweli basi Kuna namna, makubaliano flani Kati ya yanga na hao waarabu period🤔-1 WACHEZAJI WA MONASTRIENE 6,WA KIKOSI CHA KWANZA WALIANZIA BENCHI.
2.JAMAA HAWAKUPIGA HATA ON TARGET MOJA.
3.RAIS WA MONASRTIENE AHMED BELLI,AWAPONGEZA YANGA KUFUZU ROBO.
4.MONASTRIENNE WAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO NA SINGIDAA BIG STARS(na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza yanga)
N.b jibu baki nalo mwenyewe.
Ngoja niingie chimbo kuzisaka hizi habari.Huo ndo ukweli,fanya utafiti utapata majibu
Wewe unalo unipe-1 WACHEZAJI WA MONASTRIENE 6,WA KIKOSI CHA KWANZA WALIANZIA BENCHI.
2.JAMAA HAWAKUPIGA HATA ON TARGET MOJA.
3.RAIS WA MONASRTIENE AHMED BELLI,AWAPONGEZA YANGA KUFUZU ROBO.
4.MONASTRIENNE WAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO NA SINGIDAA BIG STARS(na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza yanga)
N.b jibu baki nalo mwenyewe.
Ukiachana na zile set piece zao kule Tunisia, ni kipi walichoizidi Yanga katika mchezo wa kawaida kwenye ile mechi ya kwanza? Kilichofanyika jana ni Yanga kuwa makini na mipira yote ya set pieces hawakuwa na namna tena.Hilo halina ubishi. Toka mechi inachezwa kwenye uzi nilisema hamna timu hapa ya ushindani. Hayo mengine niliyojua baadae yanathibitisha tu ukakasi wa mechi ile.
Inawezekana hawakuhongwa wafungwe ila hawakuwa na nia ya dhati ya kupata ushindi. Nadhani ni mambo mawili tofauti hayo.
Simba iliposhinda 7 si nyie utopoloo mkaja wima wima, eti Horoyaa mbovu na alikuja kukamilisha ratibaa? Mara tulihonga 38m,Ifike wakati tujifunze kukubali mwenzako anapofanya vizuri sio kujitafutiza visababu vya kipuuzi na kuja kuaibika mwenyewe. Kwan wao wakina nani kwamba kila mechi wapate on target, wao hawafungwi?
Wakati mwingine mjifunze kuficha ujinga wenu