Mleta mada ana hoja nzito yenye mashiko na anastahili kusikilizwa.
Ushahidi upo wa kimazingira kuwa Monastir ameuza game. SBS ana ushirikiano wa karibu na Yanga ambao sihitaji kuuelezea (ingawa najua hata hilo unaweza kubisha), halafu anaingia mkataba na Monastir, timu ambayo haina historia yoyote yale ya mafanikio katika soka, na mkataba unaingiwa katika kipindi ambacho inaenda kucheza mechi muhimu na Yanga? Halafu Monastir wanapiga shot moja tu kuelekea golini kwa Yanga, hawapati shot on target hata moja, wanaweka nusu ya kikosi chao cha kwanza benchi.....unataka niendelee maana kuna vitu niliviona kwenye game nikajua hakuna game ya ushindani hapa.
Nimetoka kumuuliza mwenzio, mnadhani mnashabikia timu ya malaika na watakatifu?