changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Endelea kuamini katika bahati, mpira ni mbinu na ufundi. Mechi zote mbili Berkane kashindwa ku score mbele ya Monastir halafu unakuja kuleta wimbo wa bahati. Mpira haujui weweKaangalie kwanza highlights za ule mchezo alafu urudi hapa..