Mkuu nakusisitiza ubishi wako kwenye hili hautakufikisha popote. Unataka kulinganisha uzito wa mechi ya kwanza dhidi yenu na mechi waliyocheza dhidi ya Bamako? Unadhani kati ya mechi hizo mbili, huku wakijua mmemtoa ndugu zao kwao, ipi watapanga kikosi bora zaidi? Kuwa serious basi.
Wakati wanaenda kucheza na Bamako, tayari Bamako walikuwa wamepigwa 3 na Mazembe na walipata nafasi ya kureview mechi.
Hiki hapa kikosi cha Monastir vs Mazembe kinafanana sana na kikosi walichocheza na nyie mechi ya kwanza ukiacha nadhani mchezaji mmoja. Hiki ndiyo first 11 kubali kataa.
View attachment 2560306