NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ndivyo mlivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipangomiji (Bahasha) FC1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singida Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Hapa napo tunakuachia jibu ubaki nalo mwenyewe.1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singida Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Hii tabia ya kuchagua kuumizwa na mafanikio ya wengine mtakuja mkufe1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singida Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Ni uchawi tu hamna kingine.Hii tania ya kuchagua kuumizwa na mafanikio ya wengine mtakuja mkufe
Wewe ni mbuziWe uliona alidaka hata moja?
Wewe umeumbuka huko nyuma?[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] Bahasha Fc kuna jambo wamefanya wataumbuka vibaya huko mbele
Hahaha jibu kalipata asisumbue tena kolombwe huyoNa magoli yote jamaa waliachia tu kama sio kujifunga si ndio mzeebaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MAKOLOHawako shindano 1, usijisahaulishe? Alikokua simba, yanga alifurushwaaa na Al Hilal, hata makundi hajanusa, ndo akaangukia kwa losers.
Kuwa specific wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe si ndiye ulipewa jukumu la kuwakabidhi hao waarabu bahasha ya khaki. Kwa nini hukupiga picha (hata kama ni ya ku edit) ya makabidhiano hayo uje utonyeshe? Watu wana mafuta, una pesa gani ya kuwahonga?1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singida Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Wacha conspiracy theories. Monastir kama Yanga ni timu kubwa siyo kama Simba inatumia wachezaji wale wale. Wanaoitwa kikosi cha kwanza ni zaidi 18, kwa hiyo ukipata 111 lazima kutakuwa na wachezaji saba watakokuwa nje. Hata Yanga Aziz Ki alianzie nje, hat Feisal Toto hakuwapo kabisa mchezo wote. Unaweza kupata list yote ya Yanga ujue pia kuwa kuna timu ya kwanza hawakucheza. Kwanza mchezo huu ulikuwa mkali zaidi ya Ule wa Tunisia kama ultazama michezo yote lakini walielemewa; hakukuwa na goli la ulaini pale: Msonda na m ayele waliitendea haki Yanga kikamilifu.1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singida Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Labda kwa kumsaidia tu, wachezaji muhimu wa Yanga waliokuwa nje ni Aziz Ki, Dickson Job, Fei Toto, Kibwana Shomari, Morrison na Mudhathir, wangapi hao?Wacha conspiracy theories. Monastir kama Yanga ni timu kubwa siyo kama Simba inatumia wachezaji wale wale. Wanaoitwa kikosi cha kwanza ni zaidi 18, kwa hiyo ukipata 111 lazima kutakuwa na wachezaji saba watakokuwa nje. Hata Yanga Aziz Ki alianzie nje, hat Feisal Toto hakuwapo kabisa mchezo wote. Unaweza kupata list yote ya Yanga ujue pia kuwa kuna timu ya kwanza hawakucheza. Kwanza mchezo huu ulikuwa mkali zaidi ya Ule wa Tunisia kama ultazama michezo yote lakini walielemewa; hakukuwa na goli la ulaini pale: Msonda na m ayele waliitendea haki Yanga kikamilifu.