Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Kaangalie kwanza highlights za ule mchezo alafu urudi hapa..
Endelea kuamini katika bahati, mpira ni mbinu na ufundi. Mechi zote mbili Berkane kashindwa ku score mbele ya Monastir halafu unakuja kuleta wimbo wa bahati. Mpira haujui wewe
 
Anapofanya vizuri kwenye mashindano gani ?,, hilo kombe la mbuzi?,, kwa timu gani haswa unazokutana nazo ?,, ungekua kwenye ligi ya wanaume ungepongezwa ila huko kwenye ligi ya waliofeli jipongeze mwenyewe tu inatosha, haiwezekani nikupongeze wakati timu unazokutana nazo ni aibu hata kuzitamka..

US Monastir = Namungo fc
Real Bamako = mbeya kwanza fc
Tp mazembe = Polisi Tanzania fc
Horoya = Dodoma Jiji
Vipers = Coastal Union
Raja Casablanca = Young African

Kama kupongeza huwezi kaa kimya maana kwako ndio mteremko kabisa. Unakutana na vitimu vibovu unakuja hapa kupayuka tu
 
Horoya = Dodoma Jiji
Vipers = Coastal Union
Raja Casablanca = Young African

Kama kupongeza huwezi kaa kimya maana kwako ndio mteremko kabisa. Unakutana na vitimu vibovu unakuja hapa kupayuka tu
[emoji23][emoji23] ona aibu basi mkuu, wewe na Caf champions league wapi na wapi ??
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Acha wivu Thimbaa wewe😂
 
Anza kwanza kuona aibu wewe maana nataka uniambie ni lini Mbeya kwamza na Polisi TZ walikua kwenye Confederation Cup
Poa haina noma

Us Monastir = Namungo fc
Real Bamako = KMC fc
Tp mazembe = Biashara United
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Kwenye Match Fixing yote yawezekana ingawa sababu zako ulizotoa hakuna hata moja inayoweza kuthibitisha kuwa kulikuwa na upangaji wa matokeo. Hata mchezo wa Simba na Horoya ungeingizwa kwenye upangaji wa matokeo, kilichowanusuru Simba ni kwamba Timu zote 2 (Simba na Horoya) zilikuwa zinahitaji matokeo ili zisonge mbele. Sasa fikiria kama Horoya ndiye angekuwa nafasi ya kwanza kwenye kundi halafu amefuzu kucheza robo fainali kama Raja, hapo lazima CAF wangesema kuna kupanga matokeo ili kumsaidia Simba aende robo fainali. Kwa hiyo tufike mahali tuzipongeze timu zetu pale zinapojipanga na kushinda mechi zao, tusiwe bias kufikiria kuwa kuna kupanga matokeo.
 
Hilo halina ubishi. Toka mechi inachezwa kwenye uzi nilisema hamna timu hapa ya ushindani. Hayo mengine niliyojua baadae yanathibitisha tu ukakasi wa mechi ile.

Inawezekana hawakuhongwa wafungwe ila hawakuwa na nia ya dhati ya kupata ushindi. Nadhani ni mambo mawili tofauti hayo.
We umeona hizi mbili ila zile saba ni sahihi nadhani usilaumiwe hayo ni matokeo ya matumizi ya Nganda
 
Makolo huwa mnapewa sh ngap mnapokitana na KALALA MAYELE?
Kalala Mayele anaongea na mkongo mwenzake Inonga anampa posho asimkabe sana..

Unakumbuka ile mechi alikabwa mpaka akatolewa sub. Baada ya pale ndio akaanza michezo ya kuongea na mkongo mwinzie awe anamwachia..
 
1. Job
2. Mudathir
3. Kibwana
4. Kisinda
5. Mauya
6. Mzize
7. Farid Mussa

Hao wote jana walikuwa benchi. Ila kuna timu inapatikana mtaa wa Msimbazi, hao panga pangua hawakosi first 11 ya ile timu.
Ikiwekwa bench Chama timu imekufa
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Mtoa mada amka usingizini
 
Jokate amegawa mataulo kule...umepata ya kwako?
 
Anapofanya vizuri kwenye mashindano gani ?,, hilo kombe la mbuzi?,, kwa timu gani haswa unazokutana nazo ?,, ungekua kwenye ligi ya wanaume ungepongezwa ila huko kwenye ligi ya waliofeli jipongeze mwenyewe tu inatosha, haiwezekani nikupongeze wakati timu unazokutana nazo ni aibu hata kuzitamka..

US Monastir = Namungo fc
Real Bamako = mbeya kwanza fc
Tp mazembe = Polisi Tanzania fc
Yetu macho......
20220901_002923.jpg
 
Hilo halina ubishi. Toka mechi inachezwa kwenye uzi nilisema hamna timu hapa ya ushindani. Hayo mengine niliyojua baadae yanathibitisha tu ukakasi wa mechi ile.

Inawezekana hawakuhongwa wafungwe ila hawakuwa na nia ya dhati ya kupata ushindi. Nadhani ni mambo mawili tofauti hayo.
WIVU WA KIKE UTAWAUA
 
Tutakavyo wafyonkonoa hiyo April mseme pia tulihonga Manula na Babu Onyango na mtafute mapema kiongozi mmoja wa kumtupia lawama za kuwahujumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaa wee, sio kila siku ni alhamc, kuna j4.
Mxxxxiiiieeeeeww
 
Mbona ni rahisi tu nilichomaanisha.
Namaanisha kwa robo fainali kote shirikisho na champions league ni ngazi ngumu maana wote watakutana na timu ngumu. Imagine Yanga akakutane na Pyramids au Simba akakutane na Mamelodi. Hapa ndiyo kazi ipo.
Nazitakia mafanikio timu zote, japo mimi ni Simba mnyama mkali. Ni hatua ngumu robo.
Kwa shirikisho hakuna ugumu wowote, team zote zilizoingia Robo ni za kawaida tyuuh.
 
Back
Top Bottom