Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 129
- 169
Wale watu wa Philosophy,Psychology na Great Thinkers,Hizi ni baadhi ya movies ambazo ukiziangalia Lazima ufikirishe sana ubongo na kujiuliza hivi walifikiria nini kucheza hizi filamu.
1.The da vinci Code(kutoka kwenye riwaya ya Dan Brown)
Movie inazungumzia siri zilizo fichwa kwa kutumia Michoro na namba.Inagusa mambo ya Dini,Yesu na Kanisa Katoliki,Familia za Damu Tukufu(Royal Bloodline). Unamjua Maria Magdalena?Kwamba alikuwa na mtoto anaitwa Sara🤔 Kumbe kuna injili hazijawekwa kwenye bible zimefichwa?Vipi zile familia za kifalme(Royal family mfano uingereza)?Kwanini hawataki kuchanganya damu zao na watu wasio royal?Hii kali sana
2.PROMETHEUS
Inazungumzia uumbaji na asili ya mwanadamu.Mwaka 2091 binadamu wana kwenda anga za mbali zaidi.wanakutana na creater wao(engineers).Binadamu anaunda AI(Robots) ambazo wanashindwa kuzi control.Robot zinawauliza binadamu kwanini mmetutengeneza?Swali ambalo binadamu pia wanamuuliza creator wao🔥
3.THE MATRIX.
Vipi kama umesinzia ukaanza kuota halafu ukashindwa kuamka milele?🫠Hii inagusa ile nadharia yangu ya Ulimwengu sio halisi bali ni illusional..Binadamu ana ubongo ambao ni highly Super computer generated Program.Kila unacho kiona ni illusion sio reality ila ni ubongo ndio unatafsri kama reality.TUPO KWENYE MATRIX
4.SHUTTER ISLAND.
Kacheza Leonardo Di caprio..inaonesha jinsi Trauma zinavyoweza kumbadili mtu.Inagusa Mambo ya Afya ya Akili..hii ni classic sana.Unajiuliza kwanini baadhi ya binadamu wanakuwa vichaa baada ya kuua mtu?
Au akiona jambo baya sana kama kushuhudia mauaji anaweza akawa Trauma inayo badili akili yake?Au Mtu kuwa kichaa mwehu kisa kuachwa na mpenzi au kumfumania mpenzi wake?💔Mental health imeguswa sana humu
5.FLATLINERS(Hii haina tofauti sana na Prometheus au Alien Convenent)
Ongeza na wewe hapo
6.
7.