Nollywood na bongo hata hazistahili kuitwa movies. Zile ni skits au vimaigizoMovie za SA ni world class movies. Movie za Nollywood hazina tofauti kubwa na Bongo Movies kuanzia story hadi mambo mengine ya kiufundi.
shaka ilembeHizo movie NI Kali Sana
Ipi hiyo hujaona
shaka ilembe
netflix kampuni ya kimarekani kwahiyo wamebebwa kidogo kwenye budget
Wapo mbali sana..Jamaa wamevurugwa haswa.
Wanajua haswa.
Kuanzia watunzi,
Director
Wachukua kamera,
Make-up artists
Waigizaji
Wôte wamoto
Wapo mbali sana..
Movie kama Gangstar paradise ya 2008 Jerusalema hadi leo naikumbuka...
Kabisa, japo ndio hivyo movie moja naangalia siku 4 😁Mama Mu na wewe ni mpenzi wa movie..
Katika kitu sipendi ni movie hasina uhalisia..Nollywood na bongo hata hazistahili kuitwa movies. Zile ni skits au maigizo
Take your dreams by force duuhWapo mbali sana..
Movie kama Gangstar paradise ya 2008 Jerusalema hadi leo naikumbuka...
Nadhani hali ya hewa..Lakini wasouth wana rangi nzuri Sana Kuliko mataifa mengi sijui hua wanakuaje, wana watoto watamu hatari
Itafute hio movie mkuu, ni based on true story.Take your dreams by force duuh
Poa mkuu nitafanya hvyoItafute hio movie mkuu, ni based on true story.
Itafute kiongozi hutojutia...Hiyo wiki end hii naitafuta
We sio mpenzi wa movie sasa..😆Kabisa, japo ndio hivyo movie moja naangalia siku 4 😁
Kwenye movie mtibeli ameshamaliza , sisi tunajaribu kugusia maeneo madogomadogo kama hayoNadhani hali ya hewa..
😂 Mkuu umeona usikubali movie tu, ukubali na uumbaji...