Filamu hizi tano zimenifanya nione nchi Afrika Kûsini ni kinara wa kutoa Movies Kali Afrika

Filamu hizi tano zimenifanya nione nchi Afrika Kûsini ni kinara wa kutoa Movies Kali Afrika

Shaka ilembe noma can't wait for season 2 sijui kama itakuwepo?ila Queen Modjaji nayo ilikua nzuri lakini sio kama Shaka ilembe
 
Jamaa wamevurugwa haswa.
Wanajua haswa.
Kuanzia watunzi,
Director
Wachukua kamera,
Make-up artists
Waigizaji

Wôte wamoto
Wapo mbali sana..
Movie kama Gangstar paradise ya 2008 Jerusalema hadi leo naikumbuka...
MV5BMTc5OTkyMzMzNl5BMl5BanBnXkFtZTcwNzczNDk0Mw@@._V1_.jpg
 
Nataka kuuliza. Puerto rico soko lao la filamu likoje? Sema nini wadau, uchawa umeua mambo mengi sana kwenye ile nchi ya kusadikika.
 
Back
Top Bottom