Filamu hizi tano zimenifanya nione nchi Afrika Kûsini ni kinara wa kutoa Movies Kali Afrika

SA ni wababe sana kwenye movie toka kitambo, ndio maana tambala langu bora kabisa la Safe House wamelichezea SA kina Denzel Washington.
 
Wanajua sana 🙌🙌🙌. Siku hizi naangalia movie na series za SA tu. Kuna Isono, blood & Water, Oloture, Redemption ukipata nafasi ziangalie mkuu
 
South Africa wamecopy movie nyingi za Nigeria. Hizo zote ni mapitio ya Nigeria. Wanabadiri kidogo tu. South Africa hawana tofauti na WaTz.

Nigeria huwezi kiwalinganisha na yoyote hapa Africa. Nigeria ndio mwamba wa movie,sio Africa tu. Na baadhi ya nchi huko juu.

Labda kwa vijana wa 2000 ndio hawawajui Nigeria
 
Wanajua sana 🙌🙌🙌. Siku hizi naangalia movie na series za SA tu. Kuna Isono, blood & Water, Oloture, Redemption ukipata nafasi ziangalie mkuu

Ntafuatilia Mkuu
Hawa jamaa wanajitahidi kuigiza uhalisia
Ikifika kipande cha ngono kama upo na Watu unaoheshimiana nao peleka mbele
 

Taja movies tatu Ambazo S A wamekopi Kwa Nigeria na hizô movies za Nigeria NI zipi
 
Ndio kwa sababu naona ziko free, huku wao wamewekeza fedha za kutosha kwenye uzalishaji.
Mkuu movies sio free, hizi za free ni wana download kutoka torrent za piracy.
Kwa US ukikamatwa una download movie kutoka torrent utakubali wanakukamata na kufungulia mashtaka.

Kampuni za kutengeneza movies wanaingiza faida kwa kuzionyesha kwenye cinemas, kuuza kwenye digital platforms kama amazon prime, netflix, apple tv n.k

Hivyo wanaingiza faida mkuu.
 
Mkuu ongezea hizi
1. Redemption
2. Legacy of Blood/Blood legacy
3. Unseen
 
Kuna hiyo fatal seduction ni noma sana bwana Mdogo Jacob anavyojipigia lishangaz na binti yake kwa wakat mmoja!!

Shida ya movies nyingi za sauzi zinasupport sana hizi mambo za LGBTQ na ni karibu kila movie nnayo icheki lazma iwe na hizi mambo
indeed!
 
Hapa kwetu ni upuuzi tu, wauza sura watupu, imagine katika tasnia ya habari, ukiacha Tido muhando, Charles Hilary, na Kikeke, hakuna mwingine anayeweza kuendesha mahojiano na viongozi, mabalozi wa nje!
Kuna kenge wale wa wasafi, wao ni kuuza sura tu, wamevaa suit kama marubani, mpaka unajiuliza, hawa si watangazaji, wana elimu ya journalism, kwani hakuna cha upekee huko tasniani,mpaka watu wazima wauze sura kama vitoto vya shule!
Hv mtu kama zembwela, Binti yake akimuuliza, "Baba nimeona umepiga picha ukiwa cock pit, ya ndege, je una jua urubani?huyu kenge atajibu nini? So pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…