PHD Holder
Member
- Sep 12, 2024
- 68
- 107
Sarafina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya jack chain inaitwa who I'm I .Mr. Bones/gwaragwara
Gods must be crazy
Kuna movie moja ya jack chain sijui inaitwaje
Unajua maana ya skit?Movies sio maigizo? Ni uhalisia?
Balaa sana nimeiona kitambo sana. Ngoja niitafuteYa jack chain inaitwa who I'm I .
Ingawa ni ya zamani ni classic sana.
Kama Fatal Seduction ipo kwenye list yako basi inanishawishi nitafute na hizo zingine nizichekiKwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa kunishukuru:
1. King of Johannesburg ( Joburg)
2. Savage Beauty
3. Queen of Sono
4. Fatal seduction
5. Shaka Ilembe.
Ukipata Muda fuatilia vyuma hivyo.
Uje unishukuru
Unajua maana ya skit?
Nollywood na bongo hata hazistahili kuitwa movies. Zile ni skits au maigizo
Tofautisha movie na skit. Then utaelewa why nimesema hizi za bongo sio movie. Hizi za bongo ni prolonged skits halafu wanaita movieSoma hapo. Skits sio maigizo?
Kama Fatal Seduction ipo kwenye list yako basi inanishawishi nitafute na hizo zingine nizicheki
Tofautisha movie na skit. Then utaelewa why nimesema hizi za bongo sio movie. Hizi za bongo ni prolonged skits halafu wanaita movie
Kiswahili halijitoshelezi ndio maana nikatumia na neno skit kuweka msisitizo kwenye neno igizo. Ila movie na skit sio sawaSkits na movies zote ni maigizo or acting. Wewe uliita za bongo ni maigizo sio movies as if skits sio maigizo.
South Africa ndiyo kinara wa movie bora Africa, hivyo ndivyo niinavyo tokea zaidi ya miongo miwili iliyopita.Kwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa kunishukuru:
1. King of Johannesburg ( Joburg)
2. Savage Beauty
3. Queen of Sono
4. Fatal seduction
5. Shaka Ilembe.
Ukipata Muda fuatilia vyuma hivyo.
Uje unishukuru
Mkuu samahani hivi fatal seduction season 2 imeshatoka?.....kwa kweli ni ya moto sana..Ngoja nifuatilie na hizo nyingine.Anza na Savage Beauty Kisha fatal seduction
Kwani haikuisha ileMkuu samahani hivi fatal seduction season 2 imeshatoka?.....kwa kweli ni ya moto sana..Ngoja nifuatilie na hizo nyingine.
Haikuisha mkuu....season ya 2 iliacha maswaliKwani haikuisha ile
Haikuisha mkuu....season ya 2 iliacha maswali
Ongeza na "Heart of the Hunter"Kwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa kunishukuru:
1. King of Johannesburg ( Joburg)
2. Savage Beauty
3. Queen of Sono
4. Fatal seduction
5. Shaka Ilembe.
Ukipata Muda fuatilia vyuma hivyo.
Uje unishukuru
Unseen ya moto kinomaNafuatilia Unseen
Unseen ya moto kinoma
Who Am I?Kuna movie moja ya jack chain sijui inaitwaje