Filamu hizi tazama na mpenzi wako, usitazame na watoto

SteveMollel

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
8,797
Reaction score
25,177
Usiseme hukuambiwa.

Huku ugali mdogo, nyama nyingi. Story kiduchu, shughuli ya kutosha. Jikaze mwanetu.

1. NYMPHOMANIAC

large_3lVe9Os8FjpX1VgtdT9VFnbqs5f.png

Bwana Seligman, mwanaume wa makamo anayeishi peke yakez anakutana na mwanamke aliyejilaza njiani akiwa hoi kwa kipigo. Mwanamke huyu anaitwa Joe na story yake hamna anayeijua.

Anamwokota na kumpeleka nyumbani kwake ili akamgange majeraha. Lakini shida ni mbili kama sio moja hapa, mwanamke huyu ni 'nymphomaniac' kwa asili, yani anapenda mchi kuliko hata kula.

Sasa hii combo yao, ukijumlisha na story anazosimulia mwanamke huyu, hakikisha unakuwa na fire extinguisher pembeni kuuzima moto.

2. LOVE
Murphy na demu wake Electra ni kama vile Mungu alikosea kuwaumba akawajaza mbegu nyingi kuliko ubongo.

Hawapoi, hawaboi.

Yani ile kauli mbiu ya "hapa kazi tu", hawa ndo' wanaifuata kwa vitendo.

Lakini binadamu anatosheka sasa? Utaumiza kikojoleo chako bure.

Wanapoona wametumiana vya kutosha, wanaona watie kionjo kipya kwa kumshawishi mwanamke jirani ili ajiunge nao kitandani.

Sasa inakuwa 'sriisamu' mzee. Ila mwanamke huyu aloalikwa hapa atawaacha salama?

3. THE VOYEUR

24863.png

Mapenzi hayajali elimu yako mwanetu, ukishikwa umeshikwa.

Humu ndani profesa wa chuo kikuu na elimu yake yote, vyeti vinajaa kirikuu mbili, anaachwa na mkewe darasa la saba B na kuishia kuzama kwenye sonona kali.

Mke kabebwa na mwanaume mwingine.

Yani usiku unakuwa mrefu na akibahatika kulala basi anamuota mkewe kitandani, akiamka asubuhi mashuka hayafai.

Sasa binti mmoja wa chuo anaona hii ni fursa. Anajiweka kwenye reli kumliwaza profesa kwa maufundi yake, anamsusia profeseri viuno vya paka chongo lakini atafanikiwa?

Mwanaume alomchukua mke wa profesa ni nani?

4. BASIC INSTINCT
88a12825128b79100f1c49ff8bd7c1bc.png

Mpelelezi kapewa kazi moja tu, kachunguze mauaji ya bwana mmoja mashuhuri anayeitwa Johnny Boz.

Katika kesi hii, mtuhumiwa mkubwa anayenyooshewa kidole na kila ushahidi ni mwanamke mrembo Catherine, aliyekuwa mpenzi wake na marehemu.

Mwanamke huyu sio tu mrembo, ila kwa mitego hata Rambo mwenyewe hachomoki.

Mpelelezi anajikuta kila akikutana na mwanamke huyu anazama kwenye pambano la vichwa viwili, kichwa cha juu na kile cha chini.

Na ubaya kichwa kilichokaribu na mguu ndo' kinaishia kuondoka na points zote tatu.

Sasa huyu Ngoswe ataishia wapi kwenyw kiuno cha mshukiwa? Na je kweli, Catherine ndo' muuaji?

5. YOUNG & BEAUTIFUL
5859.png

Kinachomsumbua Isabella si kingine bali ni muwasho tu. Hajali umri wake, ndo kwanza ana miaka 16, lakini anaitaka ile nanii maana ameambiwa ni tamu.

Anaamua kumtunuku Felix, kijana anayewiana naye umri, ili amtoe bikra yake lakini bado anaona hapana, hajaupata utamu halisi wa bagamoyo sugar.

Anapofikisha miaka 17 anaanza kujiuza kisirisiri akidanganya ana miaka 20 na jina lake ni Lea.

Anakuwa anunuliwa na watu high class, na mteja wake pendwa ni mzee wa miaka 63 anaitwa George.

Sasa 'imajini' mzee wa NSSF na binti wa form three kitandani, unategemea nini? Mzee kapewa mchakamchaka, moyo ngi-ngi-ngi kafa!

Hapa ndo' shida inapoanzia. Polisi wanaingia mzigoni kuchunguza kifo hiki cha mzee George.

Ukweli kuhusu uongo wa Isabella utabainika? Familia yake je?

Jikaze mwanetu.
 
Attachments

  • 38294.png
    38294.png
    94.9 KB · Views: 23
Usiseme hukuambiwa.

Huku ugali mdogo, nyama nyingi. Story kiduchu, shughuli ya kutosha. Jikaze mwanetu.

1. NYMPHOMANIAC
View attachment 2977341
Bwana Seligman, mwanaume wa makamo anayeishi peke yakez anakutana na mwanamke aliyejilaza njiani akiwa hoi kwa kipigo. Mwanamke huyu anaitwa Joe na story yake hamna anayeijua.

Anamwokota na kumpeleka nyumbani kwake ili akamgange majeraha. Lakini shida ni mbili kama sio moja hapa, mwanamke huyu ni 'nymphomaniac' kwa asili, yani anapenda mchi kuliko hata kula.

Sasa hii combo yao, ukijumlisha na story anazosimulia mwanamke huyu, hakikisha unakuwa na fire extinguisher pembeni kuuzima moto.

2. LOVE
Murphy na demu wake Electra ni kama vile Mungu alikosea kuwaumba akawajaza mbegu nyingi kuliko ubongo.

Hawapoi, hawaboi.

Yani ile kauli mbiu ya "hapa kazi tu", hawa ndo' wanaifuata kwa vitendo.

Lakini binadamu anatosheka sasa? Utaumiza kikojoleo chako bure.

Wanapoona wametumiana vya kutosha, wanaona watie kionjo kipya kwa kumshawishi mwanamke jirani ili ajiunge nao kitandani.

Sasa inakuwa 'sriisamu' mzee. Ila mwanamke huyu aloalikwa hapa atawaacha salama?

3. THE VOYEUR
View attachment 2977338
Mapenzi hayajali elimu yako mwanetu, ukishikwa umeshikwa.

Humu ndani profesa wa chuo kikuu na elimu yake yote, vyeti vinajaa kirikuu mbili, anaachwa na mkewe darasa la saba B na kuishia kuzama kwenye sonona kali.

Mke kabebwa na mwanaume mwingine.

Yani usiku unakuwa mrefu na akibahatika kulala basi anamuota mkewe kitandani, akiamka asubuhi mashuka hayafai.

Sasa binti mmoja wa chuo anaona hii ni fursa. Anajiweka kwenye reli kumliwaza profesa kwa maufundi yake, anamsusia profeseri viuno vya paka chongo lakini atafanikiwa?

Mwanaume alomchukua mke wa profesa ni nani?

4. BASIC INSTINCT
View attachment 2977337
Mpelelezi kapewa kazi moja tu, kachunguze mauaji ya bwana mmoja mashuhuri anayeitwa Johnny Boz.

Katika kesi hii, mtuhumiwa mkubwa anayenyooshewa kidole na kila ushahidi ni mwanamke mrembo Catherine, aliyekuwa mpenzi wake na marehemu.

Mwanamke huyu sio tu mrembo, ila kwa mitego hata Rambo mwenyewe hachomoki.

Mpelelezi anajikuta kila akikutana na mwanamke huyu anazama kwenye pambano la vichwa viwili, kichwa cha juu na kile cha chini.

Na ubaya kichwa kilichokaribu na mguu ndo' kinaishia kuondoka na points zote tatu.

Sasa huyu Ngoswe ataishia wapi kwenyw kiuno cha mshukiwa? Na je kweli, Catherine ndo' muuaji?

5. YOUNG & BEAUTIFUL
View attachment 2977335
Kinachomsumbua Isabella si kingine bali ni muwasho tu. Hajali umri wake, ndo kwanza ana miaka 16, lakini anaitaka ile nanii maana ameambiwa ni tamu.

Anaamua kumtunuku Felix, kijana anayewiana naye umri, ili amtoe bikra yake lakini bado anaona hapana, hajaupata utamu halisi wa bagamoyo sugar.

Anapofikisha miaka 17 anaanza kujiuza kisirisiri akidanganya ana miaka 20 na jina lake ni Lea.

Anakuwa anunuliwa na watu high class, na mteja wake pendwa ni mzee wa miaka 63 anaitwa George.

Sasa 'imajini' mzee wa NSSF na binti wa form three kitandani, unategemea nini? Mzee kapewa mchakamchaka, moyo ngi-ngi-ngi kafa!

Hapa ndo' shida inapoanzia. Polisi wanaingia mzigoni kuchunguza kifo hiki cha mzee George.

Ukweli kuhusu uongo wa Isabella utabainika? Familia yake je?

Jikaze mwanetu.
Very interesting brother
 
Back
Top Bottom