Filamu: Mwili wa mwanamke aliyekufa kwa sumu, umepotea Mochwari

Script writers wa thrillers wa hii miaka hawana jipya.

Labda science finctions.

Kama ulipitia the coffin from hongkong ya hadley chase huwez zimia hii film.
 
Nitakuja
 
Umezitazama au umeishia tu hapa na kutoa maoni? Katazame El Cuerpo mpaka mwisho alafu uje tena hapa.

Kuna directors wachache sana wanaoweza nishawish kuangalia kaz zao?

Ubunifu katika sanaa ni changamoto kizaz hik..!
 
Yts inabidi kuwa na Bittorrent halafu kule full kubwakubwa tu japo ni HD ila unakuta movie 1. 9GB
Nitaangalia
Upo nyuma sana kaka. Chukua link huko kisha paste kwenye LJ video downloader. Chagua resolution unayotaka, download.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…